Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

TATHMIN YA UKUAJI MJI 2013 HADI 2022
2013 mji uliishia mkolani ilemela,igoma , buswelu center,.
2014 buhongwa,kahama, kiseke palikuwa Kwa kasi sana mji ulisogea huku
2015 ujenzi nyamhongolo ulishika kasi ,route ya kishiri buhongwa ilipafanya kishiri iwe suburbs ya mji ,
2016 kuanzishwa kwa ruti ya nyanshishi to kisesa na stendi ya nyashishi .kulipafanya nyashishi iwe suburbs ya ujenzi mwanza
2017 nyamhongolo ulianza kuungana na kisesa , buhongwa ikaungana na bulale,isebanda ,na lwanhima,
2018 mahina kati palikoma kuwa kijijini ,ikaanza kuunganisha mhandu ,machinjioni,na kakebe
2019 kahama ilianza kuelekea ilalila ikaungana na nyamadoke na nyamhongolo
2020 bugarika,kuja igelegele ,ipuli Hadi mahina alliance palikoma kuwa kijijini
2021 kisesa ilianza kukua kuelekea kishiri, kuelekea isangijo,na kuelekea Kona ya fela . Usagara ikaungana na mwanza kupitia nyangomango na nyanshishi
2022 kishiri inakua kuelekea kuungana na buhongwa, luchelele kumeanza kuchangamka .mkuyuni kupitia mahina relini ,kanyerere Hadi nyagurugru pameacha kuwa kijijini
MAENEO YANAYOKUA SANA MWANZA
1 kishiri 2 nyashishi 3 kisesa 4 nyamadoke 5 buhongwa 6 kiseke 7 Usagara 8 buswelu 9 kakebe 10 mahina kati
Note : si maeneo yote ya mwanza nayajua nimeweka experience yangu tu . unaruhusiwa kurekebisha
Unaonekana mzururaji sana wewe, 🤣🤣🤣
Maeneo ya kabuhoro pia yana changamka bila kusahau nyasaka
 
Mwanz n mji mkubw san ila shida ipo kwen majengo hasa marefu hayaendan na jiji kbsa ndo maan unakut miji midogo km arush na nakuru kujilinganish na mwanz sabab ya majengo hasa city centre serkal na private sector sjui kwann hazion haja ya kuwekeza kwen majengo marefu mwanz tofaut na dar na arusha,mwanz ingekua bonge la city km ingekua na hata robo ya majengo yanayopatkn dar marefu..nhc wengne wanajenga dar tu majiji mengne hayana iyo mirad ndo maan jiji linabak kua dar tu km vile mengne sio majiji
 
295309177_633581737785074_8035445965458142431_n.jpg

295250829_787502412272921_7483808122006826102_n.jpg

Hivi huuu ufukwe kwa nini huwa hauendelezwi?
 
Unaonekana mzururaji sana wewe,
Maeneo ya kabuhoro pia yana changamkia bila kusahau nyasaka
Nilipasahau ..nyasaka ,nyasaka ni best place sana ,..na sa hv Kuna ruti ya kisesa airport kupitia nyasaka ...Pako hot sana..
kwenye kuzurura Ni hobby yangu aisee.napenda sana utalii wa matembezi ,,nishawahi tembea Toka mkuyuni Hadi pasiasi nikaunganisha pasiasi Hadi buzuruga nikaunganisha buzuruga Hadi mkuyuni kupitia mahina kati na ipuli huko ..hii ilinisaidia kufahamu maeneo mengi
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana🤣🤣🤣
 
Safi sana kaka. Hata mimi kipindi naishi mza nilikuwa napenda sana kuzurura, na hata nikirudi ntafanya hivyo tena nataka niwe na drone camera niombe kibali kabisa halafu nitakushtua tuzurure vizuri, hii ni kama miaka 5 ijayo najua na mji utakuwa umebadilika sana, tuombe uzima.
Upande wa bwiru kuelekea malaika mpaka airport huko naona yanashushwa mahekalu sio nyumba tena.
Vipi Igombe nilifika huko zamani sana ila pako strategic sana wakipapanga vizuri.
 
Huko nitapafika picha nitakuja nazo hapa. Ni kati ya maeneo yanayojengwa mijumba ya hatari
 
Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana
mtu anaweza asiamini akajua fix
 
Safi sana kaka. Hata mimi kipindi naishi mza nilikuwa napenda sana kuzurura, na hata nikirudi ntafanya hivyo tena nataka niwe na drone camera niombe kibali kabisa halafu nitakushtua tuzurure vizuri, hii ni kama miaka 5 ijayo najua na mji utakuwa umebadilika sana, tuombe uzima.
Upande wa bwiru kuelekea malaika mpaka airport huko naona yanashushwa mahekalu sio nyumba tena.
Vipi Igombe nilifika huko zamani sana ila pako strategic sana wakipapanga vizuri.
Welcome.. brother igombe ni barabara tu ni mbovu ,,wakirekebisha barabara patakuwa Bomba sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana🤣🤣🤣
Mimi nilikuwa natembea mara nyingi kwa miguu kutokea Pasiansi, kupitia Kiloleli, Nyasaka Cassanova mpaka Buzuruga, Nundu, Nyakato Mecco mpaka National.

Enzi hizo ni vumbi hiyo Barbara na Nyasaka bado ni nje ya mji. Naambiwa Sasa hivi hiyo Barbara ni Mkeka na Nyasaka hapashikiki😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana🤣🤣🤣
Timu ya wazururaji inaongezeka,
Na wewe nakuongeza kwenye list😄😄
 
Timu ya wazururaji inaongezeka,
Na wewe nakuongeza kwenye list
Ambacho nimegundua wengi tuliomo humu ni wenyeji wa mwanza lakini hatupo mwanza...walioko mwanza now .hawapo active kwenye Uzi ndo maana Kuna baadhi ya update hatuzipati Kwa wakati .now nipo kahama ila nikitua hapo ,, update zitakuwa za kutosha
 
Mimi nilikuwa natembea mara kwa miguu kwa mara ni kutokea Pasiansi, kupitia Kiloleli, Nyasaka Cassanova mpaka Buzuruga, Nundu, Nyakato Mecco mpaka National.

Enzi hizo ni vumbi hiyo Barbara na Nyasaka bado ni nje ya mji. Naambiwa Sasa hivi hiyo Barbara ni Mkeka na Nyasaka hapashikiki
Wew ni WA zaman sana..mwanza ya kikwete huko ,
 
Mimi nilikuwa natembea mara kwa miguu kwa mara ni kutokea Pasiansi, kupitia Kiloleli, Nyasaka Cassanova mpaka Buzuruga, Nundu, Nyakato Mecco mpaka National.

Enzi hizo ni vumbi hiyo Barbara na Nyasaka bado ni nje ya mji. Naambiwa Sasa hivi hiyo Barbara ni Mkeka na Nyasaka hapashikiki😁
Wewe ni jirani, mimi nimekulia Nyakato mecco, nyasaka ilikuwa kijijini, mahina ilikuwa kijijini, buswelu, kangae, nyamhongolo, nyamadoke, kishiri, kisesa, ilalila, kahama, sangabuye nk vilikuwa vijiji hasa.
Barbara ya lami ilikuwa mjini kati hadi pasiasi, kipindi hicho pasiasi ilikuwa route yenye daladala nzuri sikuwahi kuona sehemu yoyote Tz.
Stendi ya basi ilikuwa moja tu pale Tanganyika bus ndio baadae wakajenga ya buzuruga and then nyegezi.
Miti mirefu kulikuwa na tope balaa, dah
 
Siku hizi filling station naona zinaipamba barabara ya Buswelu-Kahama na zitaongezeka uelekeo wa Sangabuye mpaka Igombe na Kayenze
 
Back
Top Bottom