Wameiona ,,,,iko kwenye mipango ujenzi, hivi kweli hii bara bara ya nata kisesa kuwekwa njia nne hawa watu hawaioni?? Na hii bara bara ya posta usagara kuwa njia nne mpaka sita nayo hawaioni!! Hii kadhia ya jam mjini hapa hawa viongozi wetu hawaoni aibu???
Mwaka huu, au kumi ijayo??Wameiona ,,,,iko kwenye mipango ujenzi
𝔀𝓪𝓴𝓸 𝓴𝔀𝓮𝓷𝔂𝓮 𝓯𝓮𝓪𝓼𝓪𝓫𝓲𝓵𝓲𝓽𝔂 𝓼𝓽𝓾𝓭𝔂Mwaka huu, au kumi ijayo??
wanafanya upanuzi nachojuaHii Barbara nilikua inajenfwa upya kumbe ni marekebisho na upanuzi ...
Au mi ndio sijaelewa...View attachment 2325212
Kwa usagara hadi shy wataikarabatiHii Barbara nilikua inajenfwa upya kumbe ni marekebisho na upanuzi ...
Au mi ndio sijaelewa...View attachment 2325212
OkKwa usagara hadi shy wataikarabati
Ni swala tu la muda, ule mwambao wote wa ziwa kuanzia Igombe mpaka kayenze matajiri walishanunua.Nyafula, Sangabuye pamekuwa pamoto, sqm 24,500/-. Baada ya miaka 5 sijui kama patakamatika.View attachment 2327741
Hata watakaofanikiwa kujenga, hawatatutania![]()
Noma sana, Nyamhongolo pamewaka na penyeweNi swala tu la muda, ule mwambao wote wa ziwa kuanzia Igombe mpaka kayenze matajiri walishanunua.



Sometimes, madalali wa Mwanza wanazingua.