Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

Yaan mm ilikua nikimuona naanza kucheka...ameniuma...ila huyu hajatocha watu kama sabaya na makonda!
Huyu ni zimepungua kichwani tu. Mambo ya ukatili hajui. Upepo unakoelekea na yeye ni huko huko. Inaonekana akipata msosi na bia wala hawazi kingine. Ila mahesabu safari hii yameenda kombo. Unajua alipoteuliwa kuendelea na ukuu wa mkoa akafikiri mizaha yake ya wakati wa mwendazake ndiyo imemfanya mama amkubali. Hivyo akajaribu kuendeleza ili apendwe zaidi. Kumbe alikosea mahesabu.
 
Mama hataki manunda awamu hii...yes huyu zimempelea..mwanzoni nilikua najiuliza huko chuoni alikua anafundishaje!.nilikua simpendi balaa..ila ukimfatilia ni comedian mzuri sana...napenda kucheka mno!
 
JPM,alitamba sana,akadharau korona,ikamuondoa,
Makonda,akatamba sana,akaonea sana,alipoenda kugombea ubunge,mwisho wake ukafika,
Huyu chalamila,alionywa sana,akavimbisha kichwa,leo matamshi yake tu,yamemuondoa,

Maisha hayatabiriki, usiku kaenda kulala asubuhi anaamka mamlaka hana, masaa machache baadaye na ofisi anakabidhi
 
Unahisi watamfanyaje...ungekuwa wewe mjumbe ungepayuka kwa mwenye nchi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…