Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,866
- Thread starter
- #21
Matusi hayataokoa chochote mkuu , mimi nimetoa taarifa ya uamuzi wa mwanyamaki , kosa langu liko wapi mkuu ?Erythropoietin/erythrocyte wew mwakembe alikokosea nin mbona kwanzia 2014 unamwaandama sana DR . Mwakembe,mara oo!!! Hatoki mara anahali ngumu ona sasa ulivyoumbuka na unafiki wako , hivi huyu dr,alikutelekeza akaoa mke mwingine ndio maana una hasira naye
kwanin usiwe hata na chembe ya busara kuanzia kumpokea FISADI ,huku ukipingana na matamshi yako ?