Mwanyamaki:Sina hela ya kumlipa Mwakyembe.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,975
13,145
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo ka kyela,bwana Abraham mwamnyaki amesema hana hela yeyote ya kumlipa Mwakyembe kwani fedha zote zimeisha wakati wa kampeni na sasa hana shughuli yeyote ya kumuingizia kipato.

Mwamnyaki ameamuliwa amlipe Mwakyembe gharama za kesi baada ya kushindwa huko mahakamani.
Amesema aliandika barua makao makuu ili apate msaada ila aliambiwa chama hakina hela so akomae mwenyewe.

Karibu mwenezi wa chadema huko kyela bwana Donald amemlaumu Mwanyamaki kwa kutolipeleka hilo swali kwa wananchi.

Chanzo: Mwananchi
 
Back
Top Bottom