Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani

Usipayuke tafuta ukweli juu ya hiyo kata ya ziada kwanza.usifanye ushabiki kila mahali.onesha angalao tone dogo la weledi uliojaliwa.

swala la Kyela limepelekwa mahakamani, ila hiyo statement yangu ni kuhusu hurka jumuisho ya wana UKAWA. waliposhinda kuna demokrasia ya kweli, wasiposhindwa tupige kura upya hata hawakumbuki wanashindana na chama hiko hiko kila mahali.
 
Nguli wa sheria sidhani kama atatafuta advocate.
Atapanda mwenyewe ili akishinda iwe kote ubunge na mahakamani
 
yaani ukimlaumu mwakyembe kwa suala la maji utakuwa una yako moyon. Kyela ni miongon mwa wilaya ambayo kila baada ya mita mia tano unakuta bomba barabaran. Watu sasa hivi wamesambaziwa umeme mpaka vijijin lakn kwa uvuvu wao wameshindwa kuvuta umeme majumban mwao Erythrocyte ongea ukweli na Mungu akuone.

Ukimlalamikia mtu kwa ambayo hayapo unamkosea sana Mungu na kwasababu mnatoa lawama ambazo hazipo ndio mnazidi kumbariki mwakyembe
Mjomba matatizo ya kyela tumeyaandika sana humu jf , hakuna usichokijua na hatutarudia , ingia kwenye katiba ya nchi uone majukumu ya mbunge hakika utaona aibu sana ! Kingine ni hiki , hatuwezi kuhalalisha uvunjifu wa sheria kwa kuwahurumia wapendwa wetu , sheria itafuata mkondo wake , no way !
 
Last edited by a moderator:

haya nenda kwa sugu ni yapi majukumu yake aliyoyafanya pale mbeya mjini zaidi ya kuleta vurugu mitaan?
Aisee yaan mpaka nmeshakusoma vzuri sana.
...........

Tatzo sijui ni nn. Kwasababu kama mambo yote niliyokutajia aliyoyafanya mwakyembe unayakubali kayafanya kweli sasa chuki yote hyo yann?

Hata ww mwenyew nyumban kwako sio kila ulilopanga linatimia kwa wakat
 
mnakosaga sababu nyinyi watu! Hata akishinda mtaanza kusema ameihonga mahakama. Hamna jema nyinyi.
Bora kumbeba mgongoni kobraau nungunungu lakn sio vijana wa chadema.

Hata nchi tajiri kama marekan mbunge hawezi kumaliza mahitaji yote kwa wakat mmoja kwasababu nchi ni kubwa na kilakitu kinaenda kwa bajeti.

Mbona nyinyi wabunge wenu akina mdee hawajafanya chochote, akina sugu wamefanya nn? Akina mnyika wamefanya nn? Akina msigwa wamefanya nn?

Lowasa mwenyew pamoja na kuwepo mda mrefu na kujifanya anauchukia umaskin lakn kuna wamasai wanakunywa maji ya bwawa na ng'ombe wao pamoja.

Je kyela kuna mtu anakunywa maji ya bwawa?
 
kuna watu wanamwandama sana mwakyembe na mbaya zaidi kat ya wote wanaomwandama hawaishi kyela. Wengi wanaiangalia kyela pale mjini tu ndio hapo wanamlaumu. Lakn kwamimi niliyekulia kyela tangu enzi za akina kasyupa, mwakipesile na mpaka hii ya mwakyembe hakuna mbunge aliyefanya vzr zaidi ya mwakyembe. Kyela maeneo ya vijijin kuna sehem watu walikuwa wanaliwa na mamba sababu ya ukosefu wa barabara, watu walikuwa wasombwa na maji.

Kuna maeneo kuuona umeme ilibidi mpaka uje kyela mjini, kuna watu wamekunywa maji ya mito tangu uhuru mpaka alipoingia mwakyembe 2005 lakn sasa hvi barabara zinapitika mpaka vijijin sitimbi, umeme mpaka mashamban, maji mpaka yamejaa tele. Lakn bado watu hawaoni tofauti.

Kuna kipindi mwakyembe alikuwa anaonekana adui wa ccm yote hyo kwaajili ya kuipigania maendeleo ya kyela. Lakn yote hayo hawayaoni.

Kwa wanakyela wachache mnaomchukia mwakyembe mjue mnajisumbua. Mungu yu pamoja na mwakyembe atampigania kama alivyompigania kipindi jitu jeupe lilivyotaka kumfanyia figisu.

Mwakyembe hajawakosea wanakyela anatenda kadri ya uwezo wake na kadri bajeti inavyopangwa.

Kyela ya wapi Dr Mwakyembe kaiendeleza?Born and raise Kyela na naishi Kyela!
 
Kyela ya wapi Dr Mwakyembe kaiendeleza?Born and raise Kyela na naishi Kyela!

sasa umeandika nn hapo mkuu??
Kwahyo ulitakaa aianzishe yeye?
Kyela ya akina kasyupa na mwakipesile ndio kyela ya sasa ya mwakyembe?
 
sasa umeandika nn hapo mkuu??
Kwahyo ulitakaa aianzishe yeye?
Kyela ya akina kasyupa na mwakipesile ndio kyela ya sasa ya mwakyembe?

Dr Mwakyembe ndiyo Mbunge bomu kupata Kyela kuwa nae!

Barabara ya Kasumulu-Itungi haipitiki
Barabara ya Mbako-Lupembe-Ikolo-Ipyana haipitiki
Barabara ya Kikusya-Matema haipitiki
Batabara ya Ngamanga-Ilopa haipitiki
Barabara ya Nsesi-Katumba haipitiki

Maji aliyo leta Kasyupa hayapo tena
Umeme kaleta Kasyupa hauwaki

Kyela ilikuwa moja ya Wilaya zenye elimu bora na sasa ni ya mwisho TZ

Hospital ya Wilaya haina dawa wala vifaa,tumeigeuza Makandana Tukuyu kama ni hospital yetu ya rufaa

Uchumi wetu unategemea kakao na mpunga bei ni ndogo sana

Kama Dr Mwakyembe kafanya kazi mbona kashinda kwa magumashi ?
 
baada ya kusoma andiko lako nimebubujikwa na machozi ! Nakulilia kyela , bwana alitoa lakini wanadamu wametwaa !
 
Mkuu kwa kweli sijui Mgirik anaizungumzia Kyela ipi,nimeshtuka sana

Malafyale kyela sio hizo barabara ulizozitaja hapo tu. Kuna post yangu ya mwanzo pale nmetaja maeneo yaliyotengenezwa kipindi cha mwakyembe yalikuwa maeneo hatarishi kwa maisha ya watu.

Ndio maana nmewaambia hata angekuwa huyo mvuvi mnayemtaja asingeweza kumaliza kyela yote kwa mda aliokaa mwakyembe.

Bora hata ww umenitajia maeneo ambayo skupita lakn huyo Erythrocyte hata huko ulikotaja hakujui zaidi ya kyela mjin
 
Last edited by a moderator:
laiti kama ungejua nini hasa kimetokea Zanzibar ungebadilisha usemi wako. kilichofanyika Zanzibar sio mambo ya uzushi wa kuongeza kata kama Kyela, huko Zanzibar watu wamefanyiwa ugaidi kwenda kupiga kura. yaani system nzima ya upigaji kura ilikuwa infected na watu CUF na nguvu zimetumika. Huo ndio ushetani sio hili swala la Kyela.
1. Kwa hiyo la kuongeza kata huko Kyela ni demokrasia safi?
2. Na hu ugaidi uliotokea Tume imeuona au kuugundua baada ya kutangaza matokeo kwa siku 3? Huo ugaidi kama ulionekana siku ya uchaguzi na kuripotiwa na hao waangalizi au wawakilishi wa vyama vilivyoonewa, kwa nini tume iliendelea na mchakato wa kutangaza matokeo?
3. Nitajie ugaidi huo na jinsi ulivyomwathiri Mzanzibari katika kupiga kura ya Zanzibar pekee na si kura ya Muungano. Au ndiyo ile tumesikia ya kupika nyama ya kuku na kitimoto pamoja halafu unamkaribisha msabato au muislam na kumwambia achambue nyama ya kuku ale aachane na nyama ya kitimoto kwenye sahani moja?
 
haya nenda kwa sugu ni yapi majukumu yake aliyoyafanya pale mbeya mjini zaidi ya kuleta vurugu mitaan?
Aisee yaan mpaka nmeshakusoma vzuri sana.
...........

Tatzo sijui ni nn. Kwasababu kama mambo yote niliyokutajia aliyoyafanya mwakyembe unayakubali kayafanya kweli sasa chuki yote hyo yann?

Hata ww mwenyew nyumban kwako sio kila ulilopanga linatimia kwa wakat
Vurugu huwa hazisababishwi na wabunge wa upinzani siku zote. Ni mkakati wa chama tawala na serikali kuhakikisha kuwa kila mji wenyew wabunge na madiwani wa upinzani unakuwa under stress kila mara. Lengo ni kuwadhoofisha viongozi wa upinzani. Vile vile lengo ni kuwaaminisha wananchi kuwa wapinzani ni watu wa vuurugu. Na tatu, ni kuwatisha wananchi ili next time wachague CCM. makada wa CCM kama wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ndio husababisha vurugu hizi wakishirikiana na jeshi la polisi.​
 
Malafyale kyela sio hizo barabara ulizozitaja hapo tu. Kuna post yangu ya mwanzo pale nmetaja maeneo yaliyotengenezwa kipindi cha mwakyembe yalikuwa maeneo hatarishi kwa maisha ya watu.

Ndio maana nmewaambia hata angekuwa huyo mvuvi mnayemtaja asingeweza kumaliza kyela yote kwa mda aliokaa mwakyembe.

Bora hata ww umenitajia maeneo ambayo skupita lakn huyo Erythrocyte hata huko ulikotaja hakujui zaidi ya kyela mjin

Mkuu hivi kuna sehemu hatarishi kama kiteputepu cha Ibungu?Daraja la miti la pale Fubu kuvuka mto Mbaka kama unapitia njia hii ya Katago?

Mwakyembe tuheshimu kashinda tuachie hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom