Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Erythrocyte, Oct 30, 2015.

 1. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,871
  Likes Received: 29,241
  Trophy Points: 280
  Kama ulidhani sakata la ubunge kyela limemalizika basi futa mawazo hayo , taarifa kutoka kyela zinabainisha kwamba mgombea wa UKAWA Mh Abraham Mwanyamaki anaelekea mahakamani kupinga ubunge wa mwakyembe , tayari wananchi wa kyela wamefahamishwa kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni hapo , inasemekana kuna kata imeongezwa kinyemela huko Mwaya inaitwa serengeti , maana yake ni kwamba safari hii kyela ilikuwa na kata mbili zinazoitwa serengeti ! Moja ya mjini (ambayo ni halali ) na nyingine ya mwaya ( ambayo ni ya magumashi ), tuendelee kutega sikio .
   
 2. i

  iArmaniAdamson JF-Expert Member

  #81
  Oct 31, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 947
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  ningependa uchukue nafasi usome tamko la UVCCM walilolitoa asubuhi hii kuhusu mchakato wa uchaguzi Zanzibar, pia chukua muda usome tamko la kuvunja uchaguzi uliotolewa na ZEC. Utapata picha kamili ya nini kilikuwa kinaendelea uchaguzi wa Zanzibar, tangu awamu za awali za kutafuta mzabuni wa kuchapisha karatasi za kura, watu kupiga, kuzuiwa kupiga kura, kujidhihirisha u CUF ndani ya tume, wahesabu kura kujidhihirisha kuwa ni wana CUF. process nzima ilikuwa imepenyezwa na watu wa ndani ya CUF...
   
 3. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #82
  Oct 31, 2015
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ningeweza kuamini kuwa tumeshinda kihalali kama wenzetu wa ukawa wangekuwa na fursa ya kuthibitisha kuwa matokeo ya urais yalliyokuwa yanatangazwa na mwenyekiti wa tume ndiyo yalivyokuwa katika majimbo husika!!
   
 4. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #83
  Oct 31, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,871
  Likes Received: 29,241
  Trophy Points: 280
  Fuatilia kidogo matokeo ya jimbo la bumbuli na tunduma , mengine tuache kwanza .
   
 5. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #84
  Oct 31, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,871
  Likes Received: 29,241
  Trophy Points: 280
  hivi bado kuna mtu anaweza kuamini kauli za watu wa aina ya sadifa ?
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #85
  Oct 31, 2015
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,493
  Likes Received: 2,978
  Trophy Points: 280
  Nawaamini kwa kuwa ni ndugu zangu na pia ni wana CCM....

  Watu waliweka mbele uzalendo wa wilaya ya Kyela kwanza bila kujali itikadi zao...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. f

  frakitosho JF-Expert Member

  #86
  Oct 31, 2015
  Joined: Dec 13, 2012
  Messages: 802
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jinsi ninavyomchukia mwakyembe akiwa waziri mkuu nitaenda kuishi uhamishoni ili nipunguze kichefuchefu
   
 8. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #87
  Oct 31, 2015
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwanini majimbo hayo tu? Anyway, ukawa wajipange upya ila kama tume itaendelea kuwa hivi, labda iwe na wajumbe wote malaika ndiyo watangazwe washindi!
   
 9. i

  iArmaniAdamson JF-Expert Member

  #88
  Oct 31, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 947
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  kila chama kilikuwa na wakala kwenye vituo vya kupiga kura, kuna maeneo hata mgambo waliruhusu UKAWA walinde kura, sasa kura ikitangazwa hauwezi kuangalia jimboni kwako na zimebandikwa nje ya kituo? mbona vyama vingine ACT, TLP wamethibitisha na kukubali, mlishindwa nini kufanya hivyo pia?
   
 10. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #89
  Oct 31, 2015
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,504
  Likes Received: 3,302
  Trophy Points: 280
  Hivi hauelewi au unajitoa ufahamu? Umeambiwa matokeo yaliyokuwa yanasomwa na Lubuva ni tofauti na yaliyobandikwa majimboni, unaambiwa ccm waliingilia na ku-divert (kwa kibali kabisa) system ya kutuma zile data kutoka majimboni, wakafanya editing walivyotaka kabla ya kuruhusu zielekee kwa Lubuva. Kwa maana hiyo Lubuva alikuwa akipokea altered data... wewe unaongelea habari ya mawakala kwenye vituo?
   
 11. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #90
  Oct 31, 2015
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,504
  Likes Received: 3,302
  Trophy Points: 280
  Nina sababu gani ya kuamini wanachosema UVCCM? Mbona hakuna aliyeamini walichosema Lowassa a Haji Duni na UKAWA kwa ujumla? Please think. Use your head, japo kidogo.
   
 12. DZUDZUKU

  DZUDZUKU JF-Expert Member

  #91
  Oct 31, 2015
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 3,610
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Kuwa mgombea au wakala wa ukawa ni shida kuliko kipimo.

  Zaidi wakishindwa uchaguzi utaimba haleluya, atleast washinde utaona afadhali.
   
 13. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #92
  Oct 31, 2015
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 0
  CCM wezi sana.
   
 14. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #93
  Oct 31, 2015
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,221
  Likes Received: 1,809
  Trophy Points: 280
  Leka ubutungulu ndyumana,twawabulile ,Mwakyembe awatolile na ikuwatola kangi,tukigana ubukonyofu ,Sugu ikubasyoba.
   
 15. k

  kasinge JF-Expert Member

  #94
  Oct 31, 2015
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 1,261
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Tutasikia na kuona mengi mwaka huu. Vibaka wa kura walikuwa wengi.
   
 16. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #95
  Oct 31, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,871
  Likes Received: 29,241
  Trophy Points: 280
  I kata ija mmwaja iji mwalyongile jifumile kughu mwaisa ? Ulwa lino mwanyamaki aikubhagholosya fijo mwi koroti lelo , tukwiputa fijo kwa kyala .
   
 17. p

  permanides JF-Expert Member

  #96
  Oct 31, 2015
  Joined: May 18, 2013
  Messages: 2,517
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu na wewe uwe mwelewa kidogo , umeambiwa hakushinda na ndio maana wanataka kwenda mahakani na kwa sababu hizi mahakama zipo, shida iko wapi? Na usilaumu ukawa mbona usizungumzie yale majimbo CCM ilisema itaenda mahakamani kupinga.ubunge?
   
 18. i

  iArmaniAdamson JF-Expert Member

  #97
  Nov 1, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 947
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  hebu nitumie namba za jimbo ambalo namba zimetofautiana na kwenye kituo. piga picha ushahidi na tuma hapa.
   
 19. i

  iArmaniAdamson JF-Expert Member

  #98
  Nov 1, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 947
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45

  tatizo lako, hutaki kusikiliza upande mwingine wa hii kesi, hata jaji mahakamani sio lazima amwamini kila mtu anayetoa ushahidi, cha muhimu ni kusikiliza pande zote na wewe una draw conclusion. Mimi nimefanya hivyo, nimesikiliza pande zote, nime draw conclusion yangu. jitahidi fanya hivyo..

   
 20. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #99
  Nov 1, 2015
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,504
  Likes Received: 3,302
  Trophy Points: 280
  Nina hakika unamaanisha kesi ya Zanzibar, ok, nitafanya hivyo. Na wewe umejipa muda kusikiliza na kutathmini wanacholalamikia akina Lowassa kwa mizani hiyo hiyo uliyoniambia? Au unaamini kuwa kwa kesi hiyo Lubuva yupo sahihi 100% kwa kuwa mnachukulia wapinzani ni watu wa kulalamika bila sababu kwa hiyo hawastahili natural justice?
   
 21. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #100
  Nov 1, 2015
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,504
  Likes Received: 3,302
  Trophy Points: 280
  Kwa faida ipi? Lubuva alipelekewa petition officially, akakataa. Akaendelea kusoma matokeo aliyopata na akatangaza mshindi. Nitapata manufaa gani kukuridhisha wewe?
   
Loading...