Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani

Hivi hauelewi au unajitoa ufahamu? Umeambiwa matokeo yaliyokuwa yanasomwa na Lubuva ni tofauti na yaliyobandikwa majimboni, unaambiwa ccm waliingilia na ku-divert (kwa kibali kabisa) system ya kutuma zile data kutoka majimboni, wakafanya editing walivyotaka kabla ya kuruhusu zielekee kwa Lubuva. Kwa maana hiyo Lubuva alikuwa akipokea altered data... wewe unaongelea habari ya mawakala kwenye vituo?

Well said!
 
Kwa faida ipi? Lubuva alipelekewa petition officially, akakataa. Akaendelea kusoma matokeo aliyopata na akatangaza mshindi. Nitapata manufaa gani kukuridhisha wewe?

Umeandika kisomi sana !
 
Hivi hauelewi au unajitoa ufahamu? Umeambiwa matokeo yaliyokuwa yanasomwa na Lubuva ni tofauti na yaliyobandikwa majimboni, unaambiwa ccm waliingilia na ku-divert (kwa kibali kabisa) system ya kutuma zile data kutoka majimboni, wakafanya editing walivyotaka kabla ya kuruhusu zielekee kwa Lubuva. Kwa maana hiyo Lubuva alikuwa akipokea altered data... wewe unaongelea habari ya mawakala kwenye vituo?
Utukufu wa Mungu uizunguke nafsi yako , amina .
 
I kata ija mmwaja iji mwalyongile jifumile kughu mwaisa ? Ulwa lino mwanyamaki aikubhagholosya fijo mwi koroti lelo , tukwiputa fijo kwa kyala .

Leka ubukonyofu ugwe. Mwakyembe jo waziri Mkuu. Mkolonda kyala abape ifindofiki mwe basita mahala umwe. Lowasa ukufuma komyabo ikolonda ansusyepo Mwakyembe numwe mwikwiteka itolo. Mwe bakonyofu umwe.
 
Leka ubukonyofu ugwe. Mwakyembe jo waziri Mkuu. Mkolonda kyala abape ifindofiki mwe basita mahala umwe. Lowasa ukufuma komyabo ikolonda ansusyepo Mwakyembe numwe mwikwiteka itolo. Mwe bakonyofu umwe.
Hatuwezi kuvunja sheria kwa kushadadia ukabila mkuu , kama hakutenda padogo ataweza pakubwa ? After all si lengo langu kumzuia kuteuliwa u - pm , sina kinyongo kabisa na hilo lakini utata uko kwenye uchaguzi wa kyela tu baaasi .
 
hebu acheni Majungu enyi Wanyakyusa
kwani ni lazima mshinde? kwa kumuangusha
Mwakyembe ni JEMBE kwa Tanzania nzima ndiye aliyemng'oa Lowassa
mlilipwa mkamdhalilisha na kote akashinda
sasa JPM atamchagua kuwa Waziri Mkuu wa Serikali yetu
sasa mumtake msimtake kwetu atapitia Wabunge maalum 10 wa Rais
Preach!
 
Hatutakubali haki ipotee hivihivi , mwakyembe anaujua ukweli wote kwamba hakushinda , na kwa ushahidi uliokusanywa hatoki mahakamani .
We utakuwa una utindio wa ubongo, ni mara ngapi huwa mnasema hivi na mwisho wa siku mnaangukia pua kama siyo kisogo vipi Wenje alishinda case yake?.
 
We utakuwa una utindio wa ubongo, ni mara ngapi huwa mnasema hivi na mwisho wa siku mnaangukia pua kama siyo kisogo vipi Wenje alishinda case yake?.
Mambo ya uchaguzi yalishapita na imethibitika kwamba Mwakyembe alishindwa bali alitangazwa kwa mtutu wa bunduki , kwa gharama ya DC kupandishwa cheo na amepandishwa .

Baada ya hujuma tumetimua uongozi wote wa chadema kyela na kuweka viongozi wapya .
 
Back
Top Bottom