Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,519
- 55,173
Yaani mimi nipo kundi moja na mwamba mshamba achekwi.....Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana
Thank you GOD now na mimi nina akili sasa wewe mshamba_hachekwi habari za kunisema uache mi na wewe ni equally yaan wewe mimi, Mwachiluwi
Cha kufurahia zaidi nimewekwa kundi moj na mwamba wa astrophysics afrika mashariki na kati Mr KENZY
Kenzi last time nilisema wewe sio mda tutakua pamoja unaona sasa...
Kiufupi Kapeace umejua kunifurahisha sana sana sana.... 😂😂😂😂😂😂🙏🙏😂😂😂😂
Alafu unakuta kwenye hilo kundi kuna mtu anakwambia apendi mishangazi, kama hana wazimu ni nini...