Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,210
- 40,652
Diastema
Uongo kuna memba hapo kajibu vzrKwa Io jibu ni nini sasa, jibu la swali lako ni tooth gap labda uanzishe msemo wako mpya
La sabaUna kiwango gani cha elimu?
Ni kweli up nowMwanya unaitwa "diastema" kwa sisi wa miaka ileee.
Hii kibokoOpenness between teeth and teeth
Ingependeza na viboko vikaongezwa🤨Angemuacha mjeruman
HongeraLa saba
😂😂😂😂 ahah kumbe na nilikuwa sijuiKuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana
Au ID zote hizo ni zako? Tena pua breini ndo uwiiii mnafanana sana😂😂😂😂 ahah kumbe na nilikuwa sijui
Ina maana una jibu lako tayari?Sasa si anaongopa
Huyo min -me ni rasi paka/nyau, we keep on peace coz life is too short.Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana
Nna matukio yangu pia namimi ni binadam nna mapungufu yangu ila kwa asilimia kubwa nimenyooka kama rula.Kwakweli hamna baya wadogo zangu mmepoa mada yako ya kufumaniwa sms ilinushtua kiaina maana nakusomaga km baba paroko
NguboWhat about kichogo in English
Kwenye ubaba paroko nimeshakutoa hata usijitetee sana soon nakuweka kwa mashindikanaaNna matukio yangu pia namimi ni binadam nna mapungufu yangu ila kwa asilimia kubwa nimenyooka kama rula.
Kuna mwanya na pengoMkuu tooth gap ni Uwazi yaani mtu mwenye mwanya mkubbwa kama huu atuiti tena mwanya tunaita uwazi.....
Mwanya ni tooth space
Mambo mrembo..?Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,