min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,759
- 132,001
Haha sioni kama mimi ni mpole😁😁Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana