Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #101
😂😂😂 Half american ni muhuni sana si unawajua wapare na ufupi waoNimeshamsoma anako kaumalaya flani hivi
😂😂😂 Half american ni muhuni sana si unawajua wapare na ufupi waoNimeshamsoma anako kaumalaya flani hivi
Kumbe majina tu yanakupa furahi keep it 😂Kwanza majina yenu mi nachekaga kabla ya kusoma hata mlichopost
Kwahiyo wote mnanitaka jamani si kitachanika sasa
Uyo kibokoMwingine ni Mpaji Mungu sema kanajificha ficha sana haka
Unanikomoa 😂Yaelekea unalijua jibu. Hebu sasa tuambie kukomba mboga utasemaje kwa Kiingereza?
Ni kicheko chenye maumivu ndani yake.Usinichekee pls 😂
Nasubiri mwendokasi basi nshaanza kuvurugwaNi kicheko chenye maumivu ndani yake.
Unamaanisha usafiri siyo?Nasubiri mwendokasi basi nshaanza kuvurugwa
Ndiyo mkuuUnamaanisha usafiri siyo?
Unaitwa diestema kitaalamu. Kiingereza sijui zaidi ya tooth gap au gulletWakuu anejua mwanya ini english
Naona leo umeenda mbali na kwako.Ndiyo mkuu
Kama neno "Mwanya" kichwan mwako likija unawaza Ile Nafasi katikati ya meno .Wakuu anejua mwanya ini english
Sio saumuKama neno "Mwanya" kichwan mwako likija unawaza Ile Nafasi katikati ya meno .
Wewe ni kituñguu maji
DiastemaWakuu anejua mwanya ini english
We mmenya ndizi komaaa😂😂😂😂 Half american ni muhuni sana si unawajua wapare na ufupi wao
Uchochezi tu ntakufungulia kesi ya uhaini 😂Ni mchafunzi uyo story zake niulizee
Au sio mbona nakomaaaWe mmenya ndizi komaaa😂
Watu wa jf wata andamana najua iloUchochezi tu ntakufungulia kesi ya uhaini 😂