john_thesmart
Senior Member
- Jan 20, 2022
- 112
- 349
Wadau zamani kidogo pale posta British Council walikuwa wanafundisha English kwa level kadhaa, wafanyakazi wakawa wananufaika kwakuwa walikuwa wanatoa ratiba za jioni pia, wasanii kadhaa pia wamepita pale. Kipindi cha Covid wakasitisha na hadi leo ile program haijarudi tena, ukiwacheck wanakwambai jiunge online tu na pale ukafanye mitihani yao.
Je,kuna sehemu nyingine mtu unaweza kupata course nzuri ya Kiingereza hususani intermidiate na advance? Pia kama ni mtu anafundisha basi weka mawasiliano hapa au anapofanyia kazi
Je,kuna sehemu nyingine mtu unaweza kupata course nzuri ya Kiingereza hususani intermidiate na advance? Pia kama ni mtu anafundisha basi weka mawasiliano hapa au anapofanyia kazi