Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

Wanawake wanapenda Mwanume Intelligent mwenye AKILI (Acha hizi za Akili za shule).

Wanapenda Mwanaume anayenukia na kuvaa vizuri.

Wanapenda Good Game.

Kitu ambacho hawasemi mara nyingi wanapenda MWANAUME mwenye DRAMA.

DRAMA zipi.
Talkative kiasi.. haishiwi stories.
Mbunifu kitandani.
Mchokozi.. (Unpredictable) siku moja moja unakuwa rude yaani hupatikan kwa simu au hupokei calls.. hii inawapa sleepless nights. Na wanapenda sometimes kuwa stimulated.. kuchangamshwa..

Wanapenda mtu wa kuwapa maelekezo.

Swala la hela sidhani.

Ndio maana kuna Wanawake wanatoa wao PESA kulinda MWANAUME asiondoke maishani mwao.

Mwanaume kuwa na hela za kawaida tu na kazi ya kawaida. Utakula yeyote unayemtaka unless asiwe MFANYABIASHARA.
KAMA UPO DAR SEMA NIKUTUMIE GUNIA LA SAMAKI SATO KUTOKA MWANZA ,..,...,.,,.,,.AKILI NYINGI SANA UNAZOO
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mambo apendazo totoo Leejay49
Mara kakatazwa kwenda mjini
Mara kakaguliwa simu
Ewaaa... hutakiw Mwanaume kumpiga Mwanamke. Ila tu kuna namna ya kumpa Amri na Maelekezo solid. Na kuwa na msimamo wa itikadi.

Wanawake mnapenda haya mambo.
 
Wanawake wanapenda Mwanume Intelligent mwenye AKILI (Acha hizi za Akili za shule).

Wanapenda Mwanaume anayenukia na kuvaa vizuri.

Wanapenda Good Game.

Kitu ambacho hawasemi mara nyingi wanapenda MWANAUME mwenye DRAMA.

DRAMA zipi.
Talkative kiasi.. haishiwi stories.
Mbunifu kitandani.
Mchokozi.. (Unpredictable) siku moja moja unakuwa rude yaani hupatikan kwa simu au hupokei calls.. hii inawapa sleepless nights. Na wanapenda sometimes kuwa stimulated.. kuchangamshwa..

Wanapenda mtu wa kuwapa maelekezo.

Swala la hela sidhani.

Ndio maana kuna Wanawake wanatoa wao PESA kulinda MWANAUME asiondoke maishani mwao.

Mwanaume kuwa na hela za kawaida tu na kazi ya kawaida. Utakula yeyote unayemtaka unless asiwe MFANYABIASHARA.
Hapa ndo penyewe Sasa
 
Unapatikana wapi kiongozi ๐Ÿ˜Ž
 
Hawa viumbe wao wenyewe hawajui wanachotaka.

Mwanamke hana formula maalum juu ya nini hasa kinachomfanya ampende mwanaume.
Unaweza jipiga ukamfungulia duka na akaja kumpenda na kugongwa na mtu anaekuja kununua mkate wa 1700 kila siku kwenye hilo duka.

Kwa kifupi ukihisi umempata anaekupenda wewe enjoy hayo mapenzi kwa kadri utakavyoyapata ila kaa ukijua ni swala la muda yataisha tu.
Ogopa mtu anaenyoa nyusi zote halafu anachora mbadala kwa wanja.
Hahahahahaha
 
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi

Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )

Mwenye Akili za kujiongoza yeye na kujua thamani yake Mbele ya jamii yake na Familia

Mtu akishakuwa na hizo sifa hawezi kukosa maokoto yakumtosha kuishi vizuri

Kwakuwa wanaume wa hivi wapo wachache Sana hivyo wanawake wamebaki na zile za sizitaki mbichi

Value Man and Good man are rare
Nani alikuambia wanawake wanajua wanachotaka
 
Ivi uyo mtu perfect ni yupi? naamini haijawahi kuwepo nawala mungu hawezi umba kitu cha namna hiyo atakuwa mtu au AI
 
Wanawake wanapenda Mwanume Intelligent mwenye AKILI (Acha hizi za Akili za shule).

Wanapenda Mwanaume anayenukia na kuvaa vizuri.

Wanapenda Good Game.

Kitu ambacho hawasemi mara nyingi wanapenda MWANAUME mwenye DRAMA.

DRAMA zipi.
Talkative kiasi.. haishiwi stories.
Mbunifu kitandani.
Mchokozi.. (Unpredictable) siku moja moja unakuwa rude yaani hupatikan kwa simu au hupokei calls.. hii inawapa sleepless nights. Na wanapenda sometimes kuwa stimulated.. kuchangamshwa..

Wanapenda mtu wa kuwapa maelekezo.

Swala la hela sidhani.

Ndio maana kuna Wanawake wanatoa wao PESA kulinda MWANAUME asiondoke maishani mwao.

Mwanaume kuwa na hela za kawaida tu na kazi ya kawaida. Utakula yeyote unayemtaka unless asiwe MFANYABIASHARA.
Sifa zote hapa anazo yule mjinga wangu, ila ndio nampendaaaaa.
Juzi tu hapo katoka kunifanyia drama nimepata sleepless nights, ajabu nazidi tu kumpenda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom