Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
Serikali ina mipango mingi.....Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum.
Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu.
Kwa uelewa wangu mambo yote ya uongozi wa nchi hugawanywa chini ya wizara tofautitofauti.
Hapa ndio najiuliza huyu waziri jukumu lake analitekeleza kwa muktadha upi? Au ni namna tu ya kutengenezeana ulaji!
Haijiendei tu kama kilabu cha MBEGE....
#KaziIendelee