Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mhondo, Jan 8, 2012.

 1. m

  mhondo JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Katika kupitia blog moja nimekutana na picha inayomuonesha Mh. Machano Othman Said ambaye ni Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum huko Zanzibar. Nakumbuka hata huku bara miaka ya nyuma waliwahi kuwepo.

  Ninataka kujua majukumu yao ya kazi ni yapi hasa au ni mfumo tu wa kupeana ulaji baada ya kuwa nafasi za uwaziri zilizotengwa zinazidi idadi ya wanaostahili kupewa kwa mujibu wa mtoaji?.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mbona unauliza halafu unajijibu mwenyewe?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Mbona unauliza jibu?
   
 4. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,402
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  .......majukumu yake sio maalumu, kimsingi ni cheo cha kupeana ulaji
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Inawezekana zipo sababu nyingine na hayo niliyoeleza yakawa ni mawazo yangu tu.
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kunaweza kuwa na sababu nyingine maalum.
   
 7. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni waziri asiye na kazi maalum!
   
 8. M

  MUHOJA-VENTURE Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama alivyo waziri wa wizara maalum vivyohivyo majukum. yake ni maalum yaani mchuma janga hula na wa kwao.
   
 9. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wakuu, kwa wale wanaojua ni yapi majukumu/kazi za waziri asiyekuwa na wizara maalum anijuze kwani mimimkatika hilo ni mtupu.
   
 10. B

  Baracer New Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uyo hana kazi ni kupeana ulaji tu
   
 11. Mwathirika

  Mwathirika JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Siyo 'hasiye', andika 'asiye'
   
 12. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hauna wizara unaongo nin?na majukumu yatatoka wapi?
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kupokea mshahara,posho,mikopo,mavix,marupurupu na kiinua mgongo.
   
 14. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Najaribu kufikiria gari yake itakuwa inasomekaje? WAWM au? Hehehee
   
 15. s

  sabanane Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kwelikweli
   
 16. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kikwete alisema kwamba atakuwa na kazi maalum!

  Weekpedia wanaseama,

  A minister without portfolio is either a government minister with no specific responsibilities or a minister that does not head a particular ministry. The sinecure position is particularly common in countries ruled by coalition governments and a cabinet with decision making authority wherein a minister without portfolio, while he or she may not head any particular office or ministry, does have the right to cast a vote in cabinet decisions. In some countries where the executive branch is not composed of a coalition of parties and, more often, in countries with purely presidential systems of government, such as the United States, the position (or an equivalent position) of minister without portfolio is uncommon.
   
 17. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [h=2]Republic of China (Taiwan)[/h]In the Executive Yuan of the Republic of China there are several such ministers, at one time. Currently, the ROC's ministers without portfolio are:[SUP][6][/SUP]

  • Ovid Tzeng (曾志朗)
  • Chang Jin-fu (張進福)
  • Kao Su-po (高思博), also serving as Minister of Mongolian and Tibetan Affairs
  • Fan Liang-shiow (范良琇), also serving as Minster of Public Construction Commission
  • James Cherng-Tay Hsueh (薛承泰), also serving as Governor of Fujian Province
  • Liang Chi-yuan (梁啟源)
  • Lin Junq-tzer (林政則), also serving as Governor of Taiwan Province
  One of these posts is typically, but not always, reserved for the chairperson of the important Council for Economic Planning and Development, who is usually considered a cabinet member but not officially so, and so requires the post to have the actual powers of a cabinet member.
   
 18. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa uingereza list ya mawaziri wasio na wizara kuanzia 1960's ni kama inavyoonekana hapa - Source Wikipedia


   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  basically ni kwamba anaamka asubuhi anaenda kazini, analetewa chai na magazeti anasoma, anafungua computer yake anacheki emails zake akimaliza anaingia jamii forums anaanza kuchat na sisi mpaka jioni anafunga ofisi anarudi nyumbani.

  Mwisho wa mwezi; mshahara, marupurupu kama viongozi wengine wa serikali, ana pension yake, house, fuel and car allowance. mshahara na posho kama wabunge wengine. Mradi anaishi na watoto wanasomeshwa. By the way tumeambiwa serikali haina hela. IT CAN ONLY HAPPEN IN BONGO :noidea:
   
 20. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kazi zao hazipo wazi zaidi ila zaidi wanawekwa kisiasa!
   
Loading...