MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,685
- 6,489
Mahakama zipi wakati wa jiwe?Kama SUGU aliibiwa "kura" na anao ushahidi kuwa uchaguzi ulikuwa rigged, kwanini hakufungua kesi mahakamani??
Tumewahi kushuhudia matokeo ya Ubunge yakipingwa mahakamani na wapinzani wakashinda, mfano ni Godbless Lema mwaka 2010 rejea kesi yake na Batlida.
Sasa hawa wanaopiga kelele kuwa uchaguzi haukuwa wa haki kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki zao??????????????????????
Wanafiki wakubwa!!