Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

Kama SUGU aliibiwa "kura" na anao ushahidi kuwa uchaguzi ulikuwa rigged, kwanini hakufungua kesi mahakamani??

Tumewahi kushuhudia matokeo ya Ubunge yakipingwa mahakamani na wapinzani wakashinda, mfano ni Godbless Lema mwaka 2010 rejea kesi yake na Batlida.

Sasa hawa wanaopiga kelele kuwa uchaguzi haukuwa wa haki kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki zao??????????????????????

Wanafiki wakubwa!!
Kwa maelezo yako mazuri Sugu angepata haki yake chini ya usimamizi wako Mkuu.. unaonekana mtu mwema sana
 
27 June 2021

ALIYEKUWA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI [SUGU) NDANI YA MEDANI ZA SIASA.

Kama SUGU aliibiwa "kura" na anao ushahidi kuwa uchaguzi ulikuwa rigged, kwanini hakufungua kesi mahakamani??

Tumewahi kushuhudia matokeo ya Ubunge yakipingwa mahakamani na wapinzani wakashinda, mfano ni Godbless Lema mwaka 2010 rejea kesi yake na Batlida.

Sasa hawa wanaopiga kelele kuwa uchaguzi haukuwa wa haki kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki zao??????????????????????

Wanafiki wakubwa!!
Afungue kesi kwenye mahakama zipi? Hizi ambazo majajaji na mahakimu walikuwa wakiendesha kesi na kutoa hukumu kwa maelekezo ya marehemu jiwe??
 
Back
Top Bottom