TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

RIP Kamanda. Tanzania haina corona au nasema uongo ndugu zangu.
 
Vedasto!! Mungu wa huruma, akupokee kwenye enzi yake.

Kama tungekuwa na uongozi thabiti, sijui kama kifo chako kingezuilika au hapana, hatujui. Tunaomba Mungu wetu wajalie hekima watawala japo ya siku moja, ili katika siku hiyo moja waliongoze Taifa katika kupambana na hili janga.
 
Back
Top Bottom