TANZIA Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia

Nakumbuka malisa gj alishaweka mkeka wa mchango wakati yu mgonjwa
 
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye.

Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England.
BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen

View attachment 3432692
RIP Nampesya.

Hata hivyo marehemu hakuwa mfanyakazi wa BBC tangia 2016 ajira ake ilipositishwa.

Hivyo ungesema mwandishi wa zamani wa BBC.
 
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye.

Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England.
BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen

View attachment 3432692
Mkewe amekudhibitishia wewe kama nani mkuu?
 
Back
Top Bottom