GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.
Theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye.
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
Chanzo: habarileo_tz
Na si tu hawa wa katika Magazeti au Redio au Tv bali hata wale wa Kike walio katika Mitandao na Blogs mbalimbali.