This is insine
Kwanini police wanakuwa wanyama kiasi hiki?
Nyumbani kwake? Bahati mbaya?
Aliwaita kwa SIRI akawaambia waue sana wapinzani na wanahabari JK of plastic smiles!!Jk si ameshawakataza kuua!!!?!i? Au bado hajawapa official letter
EMT Ukisoma vizuri, kuna mama Jay wawili. Mama Jay (Mama Juma) ambaye ndiye mke wa Shabani na mama Jay (mama Juma) ambaye ndiye polisi wanadai walikua wanamtafuta ambaye kuna mwizi alikimbilia kwake, lakini baada ya tukio la risasi, issue ya mama Jay ikawa tena haina maana, mambo yalishaharibika na hata kama kweli mwizi alikimbilia huko baada ya risasi kulia, hawezi tena kuwapo eneo hilo, na ndio maana polisi hawakua tena na shida na mama Jay waliyekua wanaenda kwake.
Ni safari wameanza. Ngoja niwaambie ukweli kidigo kuhusu hawa Polisi, Fuatilia historia zao za maendeleo ya darasani wakiwa shuleni kwa wale waliopata kusoma japo mpaka form four tu. Ni wale ambao walikuwa hawawezi kupata swali kwa mara ya kwanza mpaka masahihisho. Au la, lazima waibie kwa mjuaji mmoja. sasa leo wako wao kwa wao wataibia wapi kama si mwendo wa makosa tu? Ukweli huu haufutiki kirahisi, ni historia imeshaandikwa.
Huu ni zaidi ya ujingaWanasema kirahisi kuwa walikuwa wanasaka majambazi, walitonywa kuna majambazi wakavamia nyumba ya Mwandishi eti katika kusukumana ndio bastola ikafyatuka risasi ikampata Mwandishi, polisi hawasemi majambazi yapo wapi waliyokuwa wanayasaka, hawakupita kwa mwenyekiti wa mtaa, walivamia nyumbani kwa mwandishi. wanasema Mwandishi alijilinda kwa panga akamjeruhi Askari, hawaonyeshi Askari huyo yuko wapi? amejeruhiwa vipi? Jamani Maswali kibao mimi nimechoshwa na Ujinga wa Polisi na Ujambazi wanaofanya.
Hakuna anayekataa kuwa polisi si ndugu zetu,labda tu unataka kubisha, lakini ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wanaoenda polisi na uwalimu ni wale wa div 1v au 111 ya mwisho,hata mitaani uwa kauli za namna hii hazikosekani 'ina maana mwanao amekosa hata ualimu au upolisi?',jaribu kufuatilia kauli hizo pindi matokeo ya mitihani ya form 4 au 6 yanapokuwa yametoka na selection imeshafanyika,kama wewe ni miongoni mwa wale wanaokandamiza keki ya taifa wenyewe sitashangaa kama hujui hili.Acha uongo huo wa mchana tena bila aibu. Polisi ni ndugu zenu tunawajua na bado wapo wengi tu wenye taaluma zao nzito na wameenda shule. Pale wanapopotoka tuseme ukweli kwamba wamepotoka, lakini pale ambapo mtu hana data asitake kuaminisha umma kama huyu salosalo anavyotaka kutuaminisha. Kumpiga mtu risasa si kitu kizuri waliohusika wachukuliwe hatua
Wanasema kirahisi kuwa walikuwa wanasaka majambazi, walitonywa kuna majambazi wakavamia nyumba ya Mwandishi eti katika kusukumana ndio bastola ikafyatuka risasi ikampata Mwandishi, polisi hawasemi majambazi yapo wapi waliyokuwa wanayasaka, hawakupita kwa mwenyekiti wa mtaa, walivamia nyumbani kwa mwandishi. wanasema Mwandishi alijilinda kwa panga akamjeruhi Askari, hawaonyeshi Askari huyo yuko wapi? amejeruhiwa vipi? Jamani Maswali kibao mimi nimechoshwa na Ujinga wa Polisi na Ujambazi wanaofanya.