Mtu wa Kwao
JF-Expert Member
- Jan 15, 2008
- 258
- 21
Habari kutoka huko sham el shaikh ni kwamba jana jioni kiongozi huyu wa alipata stroke na kukimbizwa hospitali.
kwa kweli sijui lakini habari kutoka huko ni kwamba hawezi kuondoka kwa sababu hiyo ndege iliyokwenda haina life suppoting machine. clinically is dead. habari kutoka ndani ya chumba cha wagonjwa mahututi kwenye hospitali ya Sharm el Sheihk international hospital.kwanini sasa wametuma ndege isiyo na life supporting machine?? ujinga mwingi sana ktk bara la giza, yaani mpaka inakera!!! itabidi wapige manual na ambu bag.....ovyo sana Afrika.
kwanini sasa wametuma ndege isiyo na life supporting machine?? ujinga mwingi sana ktk bara la giza, yaani mpaka inakera!!! itabidi wapige manual na ambu bag.....ovyo sana Afrika.
shut up! tunazungumzia vipi serious saa hii, alaah.........nimepitapita kwenye websites kadhaa, inaonekana hii ni kama rumour tu. Kwamba jamaa yupo kwenye stable condition...
...sawa bingwa!