Mwanawasa hoi Sham El Shaikh

Mtu wa Kwao

JF-Expert Member
Jan 15, 2008
258
21
Habari kutoka huko sham el shaikh ni kwamba jana jioni kiongozi huyu wa alipata stroke na kukimbizwa hospitali.
 
duh ni habari mbaya sana

ni kipi tena kimetokea au mugabe huyo anafanya vitu vyake?


au shock kumuona mugabe ndani ya nyumba?
 
Mungu amsaidie apone arudi kwao kuongoza nchi nzuri ya afirika
 
hakuna anayejua .ila wanasema hii ni ya tatu sasa moja ilimpata mwaka jana na mbili ni mwaka huu.kwa kweli ni jambo la kusikitisha mana kwa sasa anatumia mashine wamesema ubongo wake umelala
 
Watu wengine wanakwenda na madudu katika safari zao sasa si ajabu dudu lake limezidiwa ? Si mmeona hata hapa Bungeni Tz tu jamaa wana spray vumbivumbi na ukiingia bungeni usije ukaona ufagio upo pembeni ukasema umesahauliwa wenzako wanauheshimu wakipita karibu ! Ufagio mmoja umikamatwa na umewekwa chini ya ulinzi na usalama wa Taifa wanaufanyia uchunguzi.
 
habari niliyoipa ni kwamba kuna ndege sasa imefika shm el sheikh kwa ajil y kumkimbiza Rais Mwanawasa Cairo lakini haina life supporting mashine.sijui itakuwaje kwa kweli ni kuomba sana mungu amsaidie
 
kwanini sasa wametuma ndege isiyo na life supporting machine?? ujinga mwingi sana ktk bara la giza, yaani mpaka inakera!!! itabidi wapige manual na ambu bag.....ovyo sana Afrika.
kwa kweli sijui lakini habari kutoka huko ni kwamba hawezi kuondoka kwa sababu hiyo ndege iliyokwenda haina life suppoting machine. clinically is dead. habari kutoka ndani ya chumba cha wagonjwa mahututi kwenye hospitali ya Sharm el Sheihk international hospital.
 
Africa ndivyo tulivyo, kwani umesahau fire zetu zinazokwenda eneo la tukio bila maji?
 
"He is still in hospital for treatment. It's high blood pressure," Mike Mulongoti, Zambia's chief government spokesperson told Reuters on Monday.

"I wish to inform the nation that the president has suffered a stroke," said Rupiah Banda, Zambia's vice president.

"The president is still in intensive care. His condition is stable," a medical source at the Sharm el-Sheikh hospital in the Egyptian Red Sea resort told AFP.
 
Namwombea apone haraka maana aliweza kumwambia BABU ROB MUGABE kuwa hafai na udikteta wake Zimbabwe anasababisha raia wake kuwa na hali ngumu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom