Mwanawasa hoi Sham El Shaikh

Bila shaka amedhurika na unga unga wa Robert Mugabe maana alitoa msimamo wake kwamba Mugabe asitambuliwe kama kiongozi halali.

Mugabe Misri.jpg
 
..huyu muheshimiwa levy mwanawasa amekuwa na series ya afya mbaya tangu alipopata ajali mbaya ya gari hata kabla hajawa rais....amekuwa akipata stroke mara kadhaa....na kubwa aliipata miaka 6 iliyopita ambayo ilibidi alazwe london kwa muda ..hiyo stroke iliadhiri sana hata speech yake na alipatiwa SPEECH THERAPY.....

lolote litakalotokea ni MIPANGO YA MUNGU kwani .....ndiye anayemuweka hai hata sasa!
 
Habari niliyoipata ni kwamba ametobolewa kichwa kutolewa damu iliyovilia imeshindikana, wanataka kumpeleka france..Wanasubiri majibu toka huko kama atapokelewa.Tumuombee mungu.
 
Mwanawasa mbona habari zake hatupati isije ikawa kama yule waziri mkuu wa Israel?
 
Sijui ni kwa nini wahusika wa Zambia hawataki kusema kweli.ila kwa sasa keshapelekwa france kwa matibabu zaidi.Tuendelee kumwombea mungu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom