Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Ukiwa hivyo ndivyo unaenda mbinguni, nani amekuambia wanawake wanafanana preference kila mwanadamu ana taste zake msikariri mambo kutaka kuwa mcharo, ishi vile nafsi inataka utaishi kwa raha sana na siku ya mwisho ufurahi na sio hufurahi ila unamfurahisha binadamu ambae muda wowote anakuacha.

Mwanaume kamili ni yule anaetimiza majukumu yake kwa familia yake, kuwapa matunzo mazuri na kuwaongoza katila njia iliyosahii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikupingi mkuu. Ngoja tuongezee


13. Mwanaume kamili haoi au kufanya maisha na single maza
●Hiyo ni kujishusha thamani ni sawa na kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzako. Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake mwenyewe nd ndivyo Mungu anataka

14. Mwanaume kamili haudumii demu au mpenzi anamhudumia mke tu
●Baba ndiye mwenye jukumu la kumtunza binti yake mbaye hajaolewa

15. Mwanaume anapiga simu moja tu na kama ni meseji ni moja tu kwa manzi.
●Kama manzi hapigi au hajibu haina kupiga tena au kudouble text aanze yeye kukutafuta

16. Anajitanguliza yeye mwenyewe, familia yake na marafiki zake badala ya mwanamke/mpenzi/girlfriend

17. Mwanaume ha-date na mwanamke ambaye mchango wake ni K tu kwenye mahusiano

18. Hamrudii ex wake wala kumsamehe mwanamke msaliti

19. Kama sio bikira haina kulipa mahari

20. Mwanaume kamili hatumii snapchat, TikTok na wala hapost status kwenye WhatsApp

21. Maneno machache vitendo vinaongea

22. Mwanaume anasave zaidi kibunda chake kuliko matumizi

23. Mwanaume kamili ni mpambanaji yuko consistent in hustling
Nakubali master sijakuangusha hata kimoja
 
Hapo kwenye kulala,,Nililala na mshkaji ghetto kuja kishtuka usingzin naona jamaa kabinuka kiuno kipo juu. Asubuhi nikamtimua
Wanaume ni kiumbe kinatoweka

Pole kwa kushuhudia hicho kituko
 
As a man ishi maisha yako .ukitaka kufrahisha jamii uta umia
 
niliwai kubahatika kuingia mahabusu kahama kama mtuhumiwa miaka ya 2012.
sikuamini nilichoona wanaume wa kisukuma hawatofautishi chupi za kiume na kike!
wanavaa zozote bila hofu, hadi bikini!
sijui na wanawake ni hivyo hivyo au la!
😂
 
Back
Top Bottom