Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,894
- 13,263
Kwa hiyo akae Uchi /ajambe mbele ya mwanamke sababu ni kitu anapenda?
Acha umama mkuu.
Acha umama mkuu.
Ukiwa hivyo ndivyo unaenda mbinguni, nani amekuambia wanawake wanafanana preference kila mwanadamu ana taste zake msikariri mambo kutaka kuwa mcharo, ishi vile nafsi inataka utaishi kwa raha sana na siku ya mwisho ufurahi na sio hufurahi ila unamfurahisha binadamu ambae muda wowote anakuacha.
Mwanaume kamili ni yule anaetimiza majukumu yake kwa familia yake, kuwapa matunzo mazuri na kuwaongoza katila njia iliyosahii