Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,127
- 6,084
Eti Marrone na Yellow nazo hatutakiwi kuvaa.Boya tu kwanza kuvaa nguo red mwanaume haifai

Halafu suala la punyeto vip??Ongeza hii,usiwe na demu mmoja huyo sio mama yako
Haijalishi.Oya kuna rafiki yangu huyo anabembeleza ni hatari, huyo mkewako usiyemchekea wala kumwambia unampenda pale hachomoi, ndani ya sekunde 360 anakuwa keshaliwa.
Jamaa Simu yake inanamba nyingi za wake za watu, ukisoma sms sasa utakuta mke wa mtu kaandika mmewangu hajui kumbembeleza mwanamke ila nikiongea na wewe nahisi raha natamani hata ningeolewa na wewe.
Anachofanya sio kitu kizuri ila kupitia yeye nimebaini ukijifanya mwamba sana mke anapoteza hisia na wewe na inakuwa rahisi kuliwa na mtu atayeonesha kumjali hata kwa kuigiza
Ukiichoma kitimoto utaepuka cysts!!?Pia mwanaume hutakiwi kula vitu vya kukaanga
Kula vyakuchoma na vyakuchemsha kama havipo kula vibichi
NB: Usitie chumvi
Hivyo ni vigezo ili uonekane wewe ni "macho man" mbele ya wanaokuzunguka , lakini siyo vipimo vya uanaume wa kweli. Ni ujinga mtupu. Kama ingekuwa ndivyo, basi kila mwanaume wa kweli angetakiwa kupitia mafunzo ya ukomandoo. Kama unataka uonekane wewe ni "macho man" wa kweli, nenda gerezani ukaonyeshe how macho you are mbele ya wanaume wenzio.1. Rangi za mavazi
Rangi zinazungumza sana kuelezea mwanaume.
Katu usivae rangi ya pinki, yellow, maloon, purple.
Pendelea kuvaa rangi nyeupe, blue, red na black
2.usitamke ovyo neno nakupenda sijui I Love you.
Usimwambie demu I love you sijui nini ni ujinga tu.
Usimwambie neno hilo mkeo au mwanao.
Mwanaume lijali tunalisemaga hilo neno kwa matendo.
3.Usivae sare na mkeo.
Hilo ni udhaifu kwa kidume kujivika sare za kitenge na mkeo kama vipepeo
4. Usipige picha ovyo.
Kwenda location kama mademu ati kupiga picha ni tabia za kike mno
5. Usifanye birthday party.
Kuwa busy na ahughuli zako
Mwanaume anazaliwa mara moja
Birthday party ni mambo ya kike
6. Usipambanie mapenzi acha mapenzi yakupambanie,
Kidume unapigaje simu kwa demu, unatuma sms kwa demu hazijibiwi, huna shughuli za kufanya.
Mademu wengi wanapenda wanaume wasiowalilia malijali hasa, hiyo siri nmewapa
7. Chunga unavoongea ,
Usiongee kwa hisia labda kupanic au kufurahi sana,
Usifurahi kucheka sana mbele ya mkeo au demu.
Cheka kiasi
8. Fanya mazoezi uweke mwili timamu.
Sio unakuwa na mwili nyanya hamna kifua, mwanaume kuwa mikono laini
Hakikisha unavoamka jiweke kiume piga push ups kadhaa
Ruka kamba nk
9. Usivae nguo za kubana
10. Style za nywele.
Nyoa kiume usije kunyoa kibwezi, kiduku na style zingine kivulana
11. Style ya kulala
Usilale kwa kukuja miguu
Au kujikunyata
Lala chali na ujitanue mtindo wa kulala unakuelezea uanaume wako
12. Usikae uchi ovyo mbele ya mkeo.
Usipende tabia ya kuwa uchi bila sababu mbele ya mkeo au demu bila sababu a kujamba ovyo
Wanaume hatuko hivo
Usifanye hivo eti ndo uhuru kwa mpenzi wako huo ni udhaifu na ujinga
Uanaume siyo pesa ni maisha na jinsi gani una behave
Dah hapo kwenye kujamba maamaee yani demu wangu ananivumiliaga kwasababu akikumbuka moto naompelekea nakumfikisha kileleni anavumilia tu harufu na kishindo. Maanake siyo mjambo wa kitoto maamaee ni kishindo haswa with devastating impact mbrrr mbrrrr mbrr MBRRRRRR1. Rangi za mavazi
Rangi zinazungumza sana kuelezea mwanaume.
Katu usivae rangi ya pinki, yellow, maloon, purple.
Pendelea kuvaa rangi nyeupe, blue, red na black
2.usitamke ovyo neno nakupenda sijui I Love you.
Usimwambie demu I love you sijui nini ni ujinga tu.
Usimwambie neno hilo mkeo au mwanao.
Mwanaume lijali tunalisemaga hilo neno kwa matendo.
3.Usivae sare na mkeo.
Hilo ni udhaifu kwa kidume kujivika sare za kitenge na mkeo kama vipepeo
4. Usipige picha ovyo.
Kwenda location kama mademu ati kupiga picha ni tabia za kike mno
5. Usifanye birthday party.
Kuwa busy na ahughuli zako
Mwanaume anazaliwa mara moja
Birthday party ni mambo ya kike
6. Usipambanie mapenzi acha mapenzi yakupambanie,
Kidume unapigaje simu kwa demu, unatuma sms kwa demu hazijibiwi, huna shughuli za kufanya.
Mademu wengi wanapenda wanaume wasiowalilia malijali hasa, hiyo siri nmewapa
7. Chunga unavoongea ,
Usiongee kwa hisia labda kupanic au kufurahi sana,
Usifurahi kucheka sana mbele ya mkeo au demu.
Cheka kiasi
8. Fanya mazoezi uweke mwili timamu.
Sio unakuwa na mwili nyanya hamna kifua, mwanaume kuwa mikono laini
Hakikisha unavoamka jiweke kiume piga push ups kadhaa
Ruka kamba nk
9. Usivae nguo za kubana
10. Style za nywele.
Nyoa kiume usije kunyoa kibwezi, kiduku na style zingine kivulana
11. Style ya kulala
Usilale kwa kukuja miguu
Au kujikunyata
Lala chali na ujitanue mtindo wa kulala unakuelezea uanaume wako
12. Usikae uchi ovyo mbele ya mkeo.
Usipende tabia ya kuwa uchi bila sababu mbele ya mkeo au demu bila sababu a kujamba ovyo
Wanaume hatuko hivo
Usifanye hivo eti ndo uhuru kwa mpenzi wako huo ni udhaifu na ujinga
Uanaume siyo pesa ni maisha na jinsi gani una behave
Wewe unaweza kula michicha mibichi bro?Pia mwanaume hutakiwi kula vitu vya kukaanga
Kula vyakuchoma na vyakuchemsha kama havipo kula vibichi
NB: Usitie chumvi
Wee thed weld dweller, the 99% na hand to mouth una vituko.Pia mwanaume hutakiwi kula vitu vya kukaanga
Kula vyakuchoma na vyakuchemsha kama havipo kula vibichi
NB: Usitie chumvi
Wengine ukiamka tu ukatembea,tayari ni kosa la kiufundi kutakucha uko zako unafikiria refa alikataaje goli la yanga???Nami pia niongeze point muhimu kwa wanaume wenzangu.
Baada ya kumaliza mlo wa usiku jitahidi kunywa maji mengi,kunywa maji ya kutosha mwanaume. Hii itasababisha usiku uamke amke kwenda kukojoa, hivyo unavyoamka usiku unapiga Doria mjengoni kwako, hiyo itakusaidia kuepuka mambo ya kipuuzi kama kuibiwa na vibaka(mie mtaani kwangu Vijana wanasemaga huwa silali usiku, maana mara nyingi wakikatisha anga zangu wananikuta nipo nazunguka zunguka)
Hii kanuni inasaidia mambo mengi sana ukiitumia, hata Ile michezo ya watoto wa jinsia tofauti kuamka usiku kwenda kuzamia chumba cha jinsia nyingine(nilikuaga nazamia sana chumba cha house girl enzi zangu) itapungua
Asee hicho ndo kitu tu pekee kinauma kwenye ndoa. Makosa mengine sijui kununa, madharau sijui kiburi hayana shida yanasameheka.Haijalishi.
Hata umbembeleze mke wako vipi.
Atagongwa tu nje.
Usijisumbue Mkuu.
Huwezi kuwa mwanaume kamili ukawa huna sehemu kubwa ya sifa hizl,ukikosa nyingi ya sifa hizo ndipo pale utasikia watu wanasema una mambo ya kike kike.Hivyo ni vigezo ili uonekane wewe ni "macho man" mbele ya wanaokuzunguka , lakini siyo vipimo vya uanaume wa kweli. Ni ujinga mtupu. Kama ingekuwa ndivyo, basi kila mwanaume wa kweli angetakiwa kupitia mafunzo ya ukomandoo. Kama unataka uonekane wewe ni "macho man" wa kweli, nenda gerezani ukaonyeshe how macho you are mbele ya wanaume wenzio.
Chai1. Rangi za mavazi