Wee jamaa mbinguni utapaskia tu 😅 kwamba kula vibichi 😅😅😅😅🙌Pia mwanaume hutakiwi kula vitu vya kukaanga
Kula vyakuchoma na vyakuchemsha kama havipo kula vibichi
NB: Usitie chumvi
Kuingia mahabusu ni kubahatika?niliwai kubahatika kuingia mahabusu kahama kama mtuhumiwa miaka ya 2012.
sikuamini nilichoona wanaume wa kisukuma hawatofautishi chupi za kiume na kike!
wanavaa zozote bila hofu, hadi bikini!
sijui na wanawake ni hivyo hivyo au la!
Absolutely 💯I don't need to do anything to prove how masculine am i.
WAnaishi na dada wa kazi
Kwahiyo mashabiki wa mbeya city tuishije.?Rangi ya nguo pink na purple siwezi kuvaa hata siku moja ila njano na maloon kwangu hazina shida., hapa nilipo tu nimepiga tshirt ya long sleeve rangi maloon plain
Wale mbumbumbu wa Rage hapa unawatafuta ugomvi.Boya tu kwanza kuvaa nguo red mwanaume haifai
Ee ndo wale baba anaingia ndani/sebuleni watoto wanaenda mwendo wa kunyata na kuinama mzee asiwaone kama walikuwa sebuleniAlafu bora wewe mkuu sheria zako sio kali sana...
Kuna jamaa alisema mwanaume ukikuta mtoto wako anaangalia tamthilia l. Mfanye alie.🙌🙌🙌🙌🙌
Alafu bora wewe mkuu sheria zako sio kali sana...
Kuna jamaa alisema mwanaume ukikuta mtoto wako anaangalia tamthilia l. Mfanye alie.🙌🙌🙌🙌🙌
Acha kujamba ovyo mkuuKwenda zako huko
Yaaan mtoto anaogopa mzee akifika tuuEe ndo wale baba anaingia ndani/sebuleni watoto wanaenda mwendo wa kunyata na kuinama mzee asiwaone kama walikuwa sebuleni