Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Hiyo namba 3 njoo kwenye makanisa ya Kilokole ujionee



Walokole wanaongoza kwa kuvaa suti za rangirangi😁
 
Ukiwa hivyo ndivyo unaenda mbinguni, nani amekuambia wanawake wanafanana preference kila mwanadamu ana taste zake msikariri mambo kutaka kuwa mcharo, ishi vile nafsi inataka utaishi kwa raha sana na siku ya mwisho ufurahi na sio hufurahi ila unamfurahisha binadamu ambae muda wowote anakuacha.

Mwanaume kamili ni yule anaetimiza majukumu yake kwa familia yake, kuwapa matunzo mazuri na kuwaongoza katila njia iliyosahii
Au umeleft
 
Nami pia niongeze point muhimu kwa wanaume wenzangu.

Baada ya kumaliza mlo wa usiku jitahidi kunywa maji mengi,kunywa maji ya kutosha mwanaume. Hii itasababisha usiku uamke amke kwenda kukojoa, hivyo unavyoamka usiku unapiga Doria mjengoni kwako, hiyo itakusaidia kuepuka mambo ya kipuuzi kama kuibiwa na vibaka(mie mtaani kwangu Vijana wanasemaga huwa silali usiku, maana mara nyingi wakikatisha anga zangu wananikuta nipo nazunguka zunguka)

Hii kanuni inasaidia mambo mengi sana ukiitumia, hata Ile michezo ya watoto wa jinsia tofauti kuamka usiku kwenda kuzamia chumba cha jinsia nyingine(nilikuaga nazamia sana chumba cha house girl enzi zangu) itapungua
Mkuu umenichekesha sana aisee😂😂.. Mimi nilikuwa nazamia enzi hizo nimemaliza cha four, yaani navizia watu wote wamesinzia mm huyo naenda kumgongea beki tatu..

Sasa siku moja bimkubwa akanifuma nipo nimebana kwenye korido akaniuliza "Unafanya nini hapa usikuhuu Big nyota??? " nikabaki nimeduwaa.😂

Ilivyofika asubuhi akanichimba biti kuwa" Ukimpa mimba housegirl ujue utamuoa" kusikia hivyo niliacha kabisa hizo mambo japokuwa housegirl alinipenda kinoma.
 
Tabia nyingine ya kiume unatakiwa uwe SUGU, NGANGALI, KAUZU..... Sio mwanaume kuchomwa sindano moja unapiga kelele😁

Nakumbuka kipindi cha shule nilikuwa kauzu balaa... Yaani hata nipigwe bakora 20 sigusi hata moja wala kutikisika!! 😂😂

Basi kuna msala ulitokea tukaitwa parade nilipokea bakora hazihesabiki lakini hata sikutoa sauti yoyote waliokuwa wakilia ni classmate zang hasa wa kike....

Nilikuwa sugu balaaa😀😀.. Waliniita MSOLID😁
 
uombe asiwe mchepukaje utafanya yote hayo unakuta hana mda na wewe ndo kwanza unampa mda wa kufanya mambo yake
 
Back
Top Bottom