Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Mwanaume zingatia haya mambo madogo

Kuna mchizi mtu mzima kuliko mimi nilikutana naye shop pembeni kulikuwa na demu anasubiri huduma, jamaa likaanza kujiExpress paka kero yani "ooh nywele zako nzuri" sijui "suruali yako ya kijanja" "ooh mi napenda tu kuwasifia wanawake nafurahi."
Yani paka nilimuonea huruma yule demu, that was a big turn off motherfuck*r. Why are you simping fvcker?
 
Usipambanie mapenzi acha mapenzi yakupambanie,
Kidume unapigaje simu kwa demu, unatuma sms kwa demu hazijibiwi, huna shughuli za kufanya.
Mademu wengi wanapenda wanaume wasiowalilia malijali hasa, hiyo siri
Naunga mkono hoja hii nzito.
 
Mkiachana na haya masheria ya kijinga na ya hovyo basi walau mtaongeza life span yenu.

Ubaya ni kua kuna wengi wanaishi kwa kupretend kwa kufata maushauri kama haya.
 
Pia mwanaume ,ukitoka kuoga vaa nguo kwanza sehemu zinazoonekana ndio paka mafuta...sio kukaa uchi mbele ya kioo unajipaka mwili mzima.

Si ruhusa kuchangia au mnasemaje ndugu zangu.
 
Hiyo imepita mkuu
 
1. Rangi za mavazi
Rangi zinazungumza sana kuelezea mwanaume. Katu usivae rangi ya pinki, yellow, maloon, purple. Pendelea kuvaa rangi nyeupe, blue, red na black

2.usitamke ovyo neno nakupenda sijui I Love you. Usimwambie demu I love you sijui nini ni ujinga tu.
Usimwambie neno hilo mkeo au mwanao. Mwanaume lijali tunalisemaga hilo neno kwa matendo.

3. Usivae sare na mkeo.
Hilo ni udhaifu kwa kidume kujivika sare za kitenge na mkeo kama vipepeo

4. Usipige picha ovyo.
Kwenda location kama mademu ati kupiga picha ni tabia za kike mno

5. Usifanye birthday party.
Kuwa busy na ahughuli zako Mwanaume anazaliwa mara moja Birthday party ni mambo ya kike

6. Usipambanie mapenzi acha mapenzi yakupambanie, Kidume unapigaje simu kwa demu, unatuma sms kwa demu hazijibiwi, huna shughuli za kufanya. Mademu wengi wanapenda wanaume wasiowalilia malijali hasa, hiyo siri nmewapa

7. Chunga unavoongea,
Usiongee kwa hisia labda kupanic au kufurahi sana, Usifurahi kucheka sana mbele ya mkeo au demu. Cheka kiasi

8. Fanya mazoezi uweke mwili timamu.
Sio unakuwa na mwili nyanya hamna kifua, mwanaume kuwa mikono laini. Hakikisha unavoamka jiweke kiume piga push ups kadhaa. Ruka kamba nk

9. Usivae nguo za kubana

10. Style za nywele.
Nyoa kiume usije kunyoa kibwezi, kiduku na style zingine kivulana

11. Style ya kulala
Usilale kwa kukuja miguu au kujikunyata. Lala chali na ujitanue mtindo wa kulala unakuelezea uanaume wako

12. Usikae uchi ovyo mbele ya mkeo.
Usipende tabia ya kuwa uchi bila sababu mbele ya mkeo au demu bila sababu a kujamba ovyo
Wanaume hatuko hivyo. Usifanye hivo eti ndo uhuru kwa mpenzi wako huo ni udhaifu na ujinga

Uanaume siyo pesa ni maisha na jinsi gani una behave
hapo kwenye kujamba umefeli mkuu, watu tunaachia vijambo kama kawa tukiwa private na wake zetu na wanatuheshimu#kujamba ni afya
 
Mwisho wa siku yote ni ubatili!
Mhubiri 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.
³ Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?
 
1. Rangi za mavazi
Rangi zinazungumza sana kuelezea mwanaume. Katu usivae rangi ya pinki, yellow, maloon, purple. Pendelea kuvaa rangi nyeupe, blue, red na black

2.usitamke ovyo neno nakupenda sijui I Love you. Usimwambie demu I love you sijui nini ni ujinga tu.
Usimwambie neno hilo mkeo au mwanao. Mwanaume lijali tunalisemaga hilo neno kwa matendo.

3. Usivae sare na mkeo.
Hilo ni udhaifu kwa kidume kujivika sare za kitenge na mkeo kama vipepeo

4. Usipige picha ovyo.
Kwenda location kama mademu ati kupiga picha ni tabia za kike mno

5. Usifanye birthday party.
Kuwa busy na ahughuli zako Mwanaume anazaliwa mara moja Birthday party ni mambo ya kike

6. Usipambanie mapenzi acha mapenzi yakupambanie, Kidume unapigaje simu kwa demu, unatuma sms kwa demu hazijibiwi, huna shughuli za kufanya. Mademu wengi wanapenda wanaume wasiowalilia malijali hasa, hiyo siri nmewapa

7. Chunga unavoongea,
Usiongee kwa hisia labda kupanic au kufurahi sana, Usifurahi kucheka sana mbele ya mkeo au demu. Cheka kiasi

8. Fanya mazoezi uweke mwili timamu.
Sio unakuwa na mwili nyanya hamna kifua, mwanaume kuwa mikono laini. Hakikisha unavoamka jiweke kiume piga push ups kadhaa. Ruka kamba nk

9. Usivae nguo za kubana

10. Style za nywele.
Nyoa kiume usije kunyoa kibwezi, kiduku na style zingine kivulana

11. Style ya kulala
Usilale kwa kukuja miguu au kujikunyata. Lala chali na ujitanue mtindo wa kulala unakuelezea uanaume wako

12. Usikae uchi ovyo mbele ya mkeo.
Usipende tabia ya kuwa uchi bila sababu mbele ya mkeo au demu bila sababu a kujamba ovyo
Wanaume hatuko hivyo. Usifanye hivo eti ndo uhuru kwa mpenzi wako huo ni udhaifu na ujinga

Uanaume siyo pesa ni maisha na jinsi gani una behave
3. Usivae sare na mkeo.
Hilo ni udhaifu kwa kidume kujivika sare za kitenge na mkeo kama vipepeo

😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom