Mwanaume zingatia haya kama atakucheat

UrbanSaint

Senior Member
Aug 20, 2020
102
261
Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo.
But mume never usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.

Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke

Mwanaume anachepuka sababu ya Tamaa wakati mwanamke anachepuka sabau ya ku-replace/upgrade.

Mwanaume anaweza kuchepuka na mwanamke mpya kila siku na bado moyoni akampenda mkewe.
Kwa asili mwanaume ni predator.. Haijalishi amewahi kulala na wanawake wangapi lakini atatamani wale ambao hajawahi kulala nao.

Mwanamke anachepuka akihisi amempata mwanaume bora zaidi yako.

anachepuka ku-upgrade/ku-replace.

Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha.. deep down moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.

Mwanamke hajaumbwa kama mwanaume. Mwanamke

moyo na nafsi yake yaweza kujitoa kwa mwanaume mmoja tu

Usiombe ushauri juu ya suala hili.
Jamii yetu imeegemea kwenye usuluhishi kuliko uhalisia.
Ukiomba ushauri kwa kiongozi wa dini atakwambia shetani ameleta majaribu.
Ndugu na marafiki, watakwambia, vumilia, mitihani ya ndoa.

Usiingie kwenye huo mtego.
Na usijifariji kichwani kwamba ameteleza.
Hakuna mwanamke aliyechepuka mara moja na kuacha. Ni vile tu baada ya hapo anachepuka kwa uangalifu zaidi.

Let her go..

Usione kama umempoteza, bali tazama kama umejiepusha na balaa na matatizo kwenye maisha.
 
Je hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?

Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .

Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
 
Chukua jagi na maandazi kunywaa tu, usijitese njaa mara ya ngapi nakuambia?
 
Je hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?

Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .

Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
Kufuli kinalofunguliwa na kila funguo, halifai kwa matumizi ya nyumbani.

Soma tena mada uielewe vizuri. Kama hautaelewa Soma tena na tena.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_16765668747088955.jpg
 
Je hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?

Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .

Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
Chimbuko la usaliti limeanzia kwenu nyinyi wanawake pale bustani ya Eden! Na sisi hatuwezi kufumbia macho mambo kama hayo,huyo binti yangu mwisho wa siku ni mwanamke and so the law applies,over!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom