Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,242
- 29,579
Au na Mimi nimeshakuwa kijana wa hovyo?Sasa kaka wewe ndio usome vizuri tena na tena ujumbe wa Gily
Au na Mimi nimeshakuwa kijana wa hovyo?Sasa kaka wewe ndio usome vizuri tena na tena ujumbe wa Gily
Yeye anadai wanaume kusaliti ni sawa. Nimemuliza je hakuna anayesaliti kwa mahaba na sio tamaa? hajajibuSasa kaka wewe ndio usome vizuri tena na tena ujumbe wa Gily
Unautu sana mkuu mbinguni hauna kikwazo.Yeye anadai wanaume kusaliti ni sawa. Nimemuliza je hakuna anayesaliti kwa mahaba na sio tamaa? hajajibu
Pili mwanamke nae ni mtu obviously anaumia. Swali la pili akiwa na mtoto wa kike kamlea kamtunza damu yake akiwa anasalitiwa kila siku kwake sawa?
labda ningemuliza baba yako awe anamsaliti mama yako atajisikiaje. Kwake ni sawa?
Shukran sana. .Unautu sana mkuu mbinguni hauna kikwazo.
Umezungumza vyema sana lakini watu ni wabinafsi hawatokuelewa
AiseeKataa ndoa, ndoa ni uzandiki, ndo ni kifo cha gafla, ndoa zinaleta msongo wa mawazo, ndoa zina presha...Kataa ndoa kwa ustawi wa afya yako kijana kiakili na kimwili
Ndoa sio maalumu kwa kila mtuKATAAAAA NDOA
Kwani hamsikiii
FactJe hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?
Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .
Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
Mwanamke yupo chini ya mwanaume. Kama mtu anakulisha, anakuvalisha, anakuuguza n.k kila kitu ni yeye.Hiyo assumption ya upande mmoja umeitoa wapi ? Usihalalishe uzinifu kwa tamaa zao ... usaliti haijalishi atafanyiwa nani ni usaliti tu! kwani wanawake hawaumii?
Kama kweli unataka kuoa ni kuwa tayar kuwa mtu mzima mambo ya kuchepuka ni utoto na ushamba ni tamaa za kitoto.
Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo.
But mume never usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.
Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke
Mwanaume anachepuka sababu ya Tamaa wakati mwanamke anachepuka sabau ya ku-replace/upgrade.
Mwanaume anaweza kuchepuka na mwanamke mpya kila siku na bado moyoni akampenda mkewe.
Kwa asili mwanaume ni predator.. Haijalishi amewahi kulala na wanawake wangapi lakini atatamani wale ambao hajawahi kulala nao.
Mwanamke anachepuka akihisi amempata mwanaume bora zaidi yako.
anachepuka ku-upgrade/ku-replace.
Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha.. deep down moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.
Mwanamke hajaumbwa kama mwanaume. Mwanamke
moyo na nafsi yake yaweza kujitoa kwa mwanaume mmoja tu
Usiombe ushauri juu ya suala hili.
Jamii yetu imeegemea kwenye usuluhishi kuliko uhalisia.
Ukiomba ushauri kwa kiongozi wa dini atakwambia shetani ameleta majaribu.
Ndugu na marafiki, watakwambia, vumilia, mitihani ya ndoa.
Usiingie kwenye huo mtego.
Na usijifariji kichwani kwamba ameteleza.
Hakuna mwanamke aliyechepuka mara moja na kuacha. Ni vile tu baada ya hapo anachepuka kwa uangalifu zaidi.
Let her go..
Usione kama umempoteza, bali tazama kama umejiepusha na balaa na matatizo kwenye maisha.
Exactly [emoji817]Ufunguo ukifungua kufuli zaid ya moja unatunzwa
Kufuri likifunguliwa na funguo zaid ya moja sheria ni kutupwa No discussion
Hope y’all understand what am talking about:
am’out
Kwa upande wangu mimi mke wangu akichepuka nikajua ndoa ndio imeishia hapo,, binafsi hua najua sisi wanaume tunachepuka bila hata sababu ni tamaa tu, ila hakuna mwanamke ayechepuka bila sababu,. Kila mwanamke anayechepuka anakua na sababu ya msingi...Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo.
But mume never usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.
Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke
Mwanaume anachepuka sababu ya Tamaa wakati mwanamke anachepuka sabau ya ku-replace/upgrade.
Mwanaume anaweza kuchepuka na mwanamke mpya kila siku na bado moyoni akampenda mkewe.
Kwa asili mwanaume ni predator.. Haijalishi amewahi kulala na wanawake wangapi lakini atatamani wale ambao hajawahi kulala nao.
Mwanamke anachepuka akihisi amempata mwanaume bora zaidi yako.
anachepuka ku-upgrade/ku-replace.
Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha.. deep down moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.
Mwanamke hajaumbwa kama mwanaume. Mwanamke
moyo na nafsi yake yaweza kujitoa kwa mwanaume mmoja tu
Usiombe ushauri juu ya suala hili.
Jamii yetu imeegemea kwenye usuluhishi kuliko uhalisia.
Ukiomba ushauri kwa kiongozi wa dini atakwambia shetani ameleta majaribu.
Ndugu na marafiki, watakwambia, vumilia, mitihani ya ndoa.
Usiingie kwenye huo mtego.
Na usijifariji kichwani kwamba ameteleza.
Hakuna mwanamke aliyechepuka mara moja na kuacha. Ni vile tu baada ya hapo anachepuka kwa uangalifu zaidi.
Let her go..
Usione kama umempoteza, bali tazama kama umejiepusha na balaa na matatizo kwenye maisha.
Naaam!Kwa upande wangu mimi mke wangu akichepuka nikajua ndoa ndio imeishia hapo,, binafsi hua najua sisi wanaume tunachepuka bila hata sababu ni tamaa tu, ila hakuna mwanamke ayechepuka bila sababu,. Kila mwanamke anayechepuka anakua na sababu ya msingi...
Wanaume wanasaliti na wanatelekeza watoto mazima.Je hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?
Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .
Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
Wanawake ni chombo Cha starehe ni chombo Cha burudani na waliumbwa ili kuburudisha na 95% mwanamke anawaza kuburudisha tu.Wanaume wanasaliti na wanatelekeza watoto mazima.
Wanaume wanasaliti na bado wanategemea mke amuone predator sijui hunter ina maana mke hana moyo? Huko nje mnakoenda mnabeba magonjwa.
Huu upuuzi wa mfumo dume fanyieni wanawake ambao walijilengesha ili muwaoe. Hawa wengine waacheni tu. Don’t glorify sins. Adultery is an abomination
🚮Wanawake ni chombo Cha starehe ni chombo Cha burudani na waliumbwa ili kuburudisha na 95% mwanamke anawaza kuburudisha tu.
Ila ndo ilivyo, mfimo dume umewekwa na Mungu, otherwise utuambie hauamini mafundisho ya Mungu hapo nitakuelewa. Mwanaume hana dhambi ya kuzini hili nalo mungu ameweka iwe hivo, tunatuhusiwa kuoa wake wengi kadri ya uwexo wetuJe hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?