Mwanaume zingatia haya kama atakucheat

Mwanaume zingatia haya kama atakucheat

Akili ya mwanamke ni one way traffic ikienda imeenda

Akili ya mwanaume ni two way traffic inaenda na kurudi

Mwanaume anachepuka kwa logic
Mwanamke anachepuka emotional

Mwanaume hahitaji high value women kuchepuka but for women is far deeper difference

All in all mwisho wa siku looser ni women

Point to remember katika umri
Mwanaume ni kama wine inavokaa muda ndio thamani huongezeka

Mwanamke ni kama maziwa kadri yanavokaa ndio huzidi kuchacha
 
Brother hii mada ni ngumu sana.
Kuna upande waliooa na ambao hawajaoa.ambao hawajaoa nahisi ndio walioleta uzi[emoji12]pazito
Haijalishi mpo kwenye ndoa au mahusiano tu ya kimapenzi
 
Hiyo assumption ya upande mmoja umeitoa wapi ? Usihalalishe uzinifu kwa tamaa zao ... usaliti haijalishi atafanyiwa nani ni usaliti tu! kwani wanawake hawaumii?

Kama kweli unataka kuoa ni kuwa tayar kuwa mtu mzima mambo ya kuchepuka ni utoto na ushamba ni tamaa za kitoto.
Wanaume mmebaki wa kumulika kwa tochi
 
Back
Top Bottom