King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,388
- 99,200
Straight Talk!
Sasa kama wanakataa ndoa ni dhahiri wameamua kujichukulia sheria mkononi ndani ya miaka mitano misuli inaanza kulegea hamu ya mapenzi inapotea.Huu Ni mwezi wa valentine ila vijana wamedindana na hashtag yao maarufu ya kataaa ndoa. Sijui Kuna tatizo gani la kiufundi.
Hujaelewa sio kasa pia kutokuelewaJe hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?
Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .
Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
This is fukcing true aseeeh ,nimeyashuhudia haya sehemu kadhaaMwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha.. deep down moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.
Hii reply aione mtu wangu wa nguvu dronedrake .Sasa kama wanakataa ndoa ni dhahiri wameamua kujichukulia sheria mkononi ndani ya miaka mitano misuli inaanza kulegea hamu ya mapenzi inapotea.
Kweli CHAPUTA iko kazini💔💔
Huu uzi kama kuna alooa basi ni 1 ..wengine wote naamini hawajaoa .kwa ground vitu tifauti kabisaa .kuacha mke sio jambo jepesi...awaulize walooaKama ndoa zimewashinda si muache tu!
Brother kwahiyo my wako wa nguvu ni dronedrake 😆😆Hii reply aione my wangu wa nguvu dronedrake .
This calculation is compulsory!Kuna hesabu nyingine sio za kufanya kabisa
Asante kwa ushuhuda!Naunga mkono hoja upo sahihi 100%. Binafsi ni muhanga wa hilo so naelewa zaidi.
Duh,hizi simu hizi. Niliandika mtu want wa nguvu imetype my, Dah!!Brother kwahiyo my wako wa nguvu ni dronedrake 😆😆
UONGO UONGO UONGOmisuli inaanza kulegea hamu ya mapenzi inapotea.
Hao tunaweza waweka kwenye kundi jingine,ila mwanaume timamu haweziMnajihalalishia kucheat,Kwan hakuna wanaume wanaocheat wanaenda kimoja wanasahau na familia kabisa weweee
Wewe utakuwa ndie Mwenyekiti wa chama 😆😆 👋UONGO UONGO UONGO
Pole kaka 😆😆ndizo simu hizoDuh,hizi simu hizi. Niliandika mtu want wa nguvu imetype my, Dah!!
Kataa ndoa, ndoa ni uzandiki, ndo ni kifo cha gafla, ndoa zinaleta msongo wa mawazo, ndoa zina presha...Kataa ndoa kwa ustawi wa afya yako kijana kiakili na kimwili
Unapingana na ukweli sasaJe hakuna wanaume wanaosaliti kwa mahaba na si tamaa? Huu mfumo dume kila jambo hata kama baya utalitafutia majibu. Hivi mwanao wa kike anakuletea kesi kuwa kasalitiwa na mume wake utamjibuje?
Wanawake ni watu pia. Dhambi ya usaliti inauma kama inabyotuuma sisi wanaume. Kama huitaji kuwa nae na unahitaji kuwa na wanawake wengi muache usimtese na mwisho ukamletea magonjwa. .
Huu mwezi wa Kwaresma ukawe wa kheri kwetu sote. .
Sasa kaka wewe ndio usome vizuri tena na tena ujumbe wa GilyKufuli kinalofunguliwa na kila funguo, halifai kwa matumizi ya nyumbani.
Soma tena mada uielewe vizuri. Kama hautaelewa Soma tena na tena.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app