Mwanamke akichepuka usimsamehe

Mwanamke akichepuka usimsamehe

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Twenda kwanza na Biblia;

Yesu akawajibu, “Musa aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu mioyo yenu ni migumu. Lakini tangu mwanzo haikukusudiwa iwe hivyo. 9 Nami nawaambieni, mtu ye yote anayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mke mwingine, anazini.” [“Na mtu anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka pia anazini.”]

Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo lakini mume kamwe usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.

Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke!

Mwanaume anachepuka sababu ya tamaa wakati mwanamke anachepuka sabau ya kubadili/kuboresha.

Mwanaume anaweza kuchepuka na mwanamke mpya kila siku na bado moyoni akampenda mkewe.

Kwa asili mwanaume ni mwindaji, haijalishi amewahi kulala na wanawake wangapi lakini atatamani wale ambao hajawahi kulala nao.

Mwanamke anachepuka akihisi amempata mwanaume bora zaidi yako.

Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha, ndani kabisa moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.

Mwanamke hajaumbwa kama mwanaume. Mwanamke moyo na nafsi yake yaweza kujitoa kwa mwanaume mmoja tu.

Usiombe ushauri juu ya suala hili.
Jamii yetu imeegemea kwenye usuluhishi kuliko uhalisia. Ukiomba ushauri kwa kiongozi wa dini atakwambia shetani ameleta majaribu.

Ndugu na marafiki watakwambia, vumilia, mitihani ya ndoa. Usiingie kwenye huo mtego, na usijifariji kichwani kwamba ameteleza. Hakuna mwanamke aliyechepuka mara moja na kuacha. Ni vile tu baada ya hapo anachepuka kwa uangalifu zaidi.

Muache aende!

Usione kama umempoteza, bali tazama kama umejiepusha na balaa na matatizo kwenye maisha.

Utani: Na ukikumbuka kuna wakati ilikua inachomoka halafu anairudishia. [emoji28][emoji28]
 
Unaruhusiwa kumuacha , mnapojifanya ving'ang'anizi ndo mana mnaishia kuwaua au kujiua , ukimfumania kama Una Moyo mdogo mwache kabisa, piga chini , kuhusu watoto hata Sisi wengine tumelelewa online tangu tukiwa na miaka 3 up to date
 
Hayo malezi ya online ndo ya namna gani?
 
Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha, ndani kabisa moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.
100% perfect and correct.

Kwanza mpaka anachepuk tayari ashakudharau anajua huwezi kumfanya kitu.

Tazama wanaume woote ambao wake zao wanachepuka kama wana akili sawa sawa. Usiangakie kipato chake.
 
kuna hii statement ya kwenye bible inayowekawaz mwanmke hamuheshim mume na mume hampende mke.
naunga hoja
 
E69C3A90-B3CA-4551-92FC-6A784D3B97B2.jpeg
 
Twenda kwanza na Biblia;

Yesu akawajibu, “Musa aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu mioyo yenu ni migumu. Lakini tangu mwanzo haikukusudiwa iwe hivyo. 9 Nami nawaambieni, mtu ye yote anayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mke mwingine, anazini.” [“Na mtu anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka pia anazini.”]

Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo lakini mume kamwe usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.

Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke!

Mwanaume anachepuka sababu ya tamaa wakati mwanamke anachepuka sabau ya kubadili/kuboresha.

Mwanaume anaweza kuchepuka na mwanamke mpya kila siku na bado moyoni akampenda mkewe.

Kwa asili mwanaume ni mwindaji, haijalishi amewahi kulala na wanawake wangapi lakini atatamani wale ambao hajawahi kulala nao.

Mwanamke anachepuka akihisi amempata mwanaume bora zaidi yako.

Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha, ndani kabisa moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.

Mwanamke hajaumbwa kama mwanaume. Mwanamke moyo na nafsi yake yaweza kujitoa kwa mwanaume mmoja tu.

Usiombe ushauri juu ya suala hili.
Jamii yetu imeegemea kwenye usuluhishi kuliko uhalisia. Ukiomba ushauri kwa kiongozi wa dini atakwambia shetani ameleta majaribu.

Ndugu na marafiki watakwambia, vumilia, mitihani ya ndoa. Usiingie kwenye huo mtego, na usijifariji kichwani kwamba ameteleza. Hakuna mwanamke aliyechepuka mara moja na kuacha. Ni vile tu baada ya hapo anachepuka kwa uangalifu zaidi.

Muache aende!

Usione kama umempoteza, bali tazama kama umejiepusha na balaa na matatizo kwenye maisha.

Utani: Na ukikumbuka kuna wakati ilikua inachomoka halafu anairudishia. [emoji28][emoji28]
Mke akichepuka ni kama chumvi iliyoharibika, haina dawa!
 
Mapenz kitu ingine, mim mwanamke akinicheat uwa anapoteza kabisa mvuto kwangu. namuonaga hana thaman tena then nafikiria vile jins alivyokuwa analiwa mbususu na uyo mwamba bas dah nashindwa ata kuebdelea nae teeeena
 
Ukikuwa utaelewa kuwa hata wewe si mtotowa baba anaesema ni wako..

Cheating needs a lot of consideration 360 degree...
Watu wame cheat na wamezaa na wamesameheana, hizi amphibia za juzi zinadhan mapenz ni ya juzi
 
Mwanaume anaweza kuchepuka na mwanamke mpya kila siku na bado moyoni akampenda mkewe.
Kwa asili mwanaume ni predator.. Haijalishi amewahi kulala na wanawake wangapi lakini atatamani wale ambao hajawahi kulala nao.

Mwanamke anachepuka akihisi amempata mwanaume bora zaidi yako…anachepuka ku-upgrade/ku-replace.

Mwanamke akishachepuka hata mara moja tu kamwe hawezi kukuheshimu tena. Hata akilia na kujigalagaza wiki nzima na mkaendelea na maisha.. deep down moyoni mwake hawezi kuwa na heshima na wewe tena.

Mwanamke hajaumbwa kama mwanaume. Mwanamke…moyo na nafsi yake yaweza kujitoa kwa mwanaume mmoja tu

Usiombe ushauri juu ya suala hili.
Jamii yetu imeegemea kwenye usuluhishi kuliko uhalisia. Ukiomba ushauri kwa kiongozi wa dini atakwambia shetani ameleta majaribu.
Ndugu na marafiki, watakwambia, vumilia, mitihani ya ndoa. Usiingie kwenye huo mtego.

Na usijifariji kichwani kwamba ameteleza. Hakuna mwanamke aliyechepuka mara moja na kuacha. Ni vile tu baada ya hapo anachepuka kwa uangalifu zaidi.

Let her go..

Usione kama umempoteza, bali tazama kama umejiepusha na balaa na matatizo kwenye maisha.
 
umejiuliza swali na umejijibu mwenyewe na thread imesha hapo.

haya tawanyikeni mkawai familia zenu!
 
Kwa hiyo ndugu mtoa mada unazungumzia mahusiano ya Masanja Mkandamizaji,mbona mada inaendana na tukio lilitokea siku kadhaa zilizopita?.
 
Back
Top Bottom