Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Muwekee kwenye profile ya whatsapp.

Ukinidelete wenzio wananidownload

roho itamruka atakupigia kila muda.
Yani best na wewe unashauri afanye mambo ya watoto? aaaah!
Hiyo mipasho inaandikwa na watu wasiojielewa...!
 
What i sense from you is neediness. Una hali ya kuhitaji mtu mwingine ili upate kamilisho, (fulfillment) Nimeshawahi kupita phase hiyo na kwakweli mwisho wake si mzuri. Tumia nafasi hii ili ukue.
The truth is, hata uangaike kiasi gani hautokuja kupata furaha na mapenzi nje yako. Relationships are meant to grow us, do not enter a relationship with a preconceived idea of 'how it should be' Rather build slowly with the aim of attaining True Love
True love is inside you, if you are able to find it within you then your partner will reciprocate it. Eventually both of you will find harmony, your relationship will not be about petty issues anymore.
 
N ngumu kuuchuna kweli hapa kwenyewe nimetoka kumcheck ila hajapokea

Tafadhali soma txt yangu hapo juu!! Try na wewe kuuchuna walau siku moja ... then yeye ndio akutafute!!! Mind you... ukichukulia serious mapenz hutokawia kujitundika!!! Just try kuuchuna walau siku moja..ndio ningum lakin try for your betterment..
 
Ningekuwa napata hzo gudnight nsingeleta hii mada kwenu,mfano mzuri n leo hadi muda huu hamna cha msg wala cal,me nimepiga haijapokelewa

Pole sana swtybby.. Ila kuna baadhi ya mambo katika maisha yanakuwa nje kabisa ya uwezo wako.. Na haswa ambayo yanamuhusisha mtu mwingine katika maisha yako..

Unatakiwa uanze kukubali kwamba jamaa ndo yuko hivyo sasa.. Hakuna kitakachoweza kumbadilisha..
 
Last edited by a moderator:
Kama yuko bizi na wewe nakushauri kuwa bize huenda kashapata mwengine mzuri zaid yako wewe huko aliko na hana shida tena na wewe.tulia utapata mume tu sio lazima yeye.au?
 
Sijawahi kumpga mizinga na sina hiyo hulka kabisa

Daaa! basi swtybby nakuonea huruma sana. Cha msingi wewe jitahidi kumpotezea tu na baada ya muda si mrefu utasahau na maisha yataendelea kama kawa. Watu ghafla wanafiwa na wapenzi wao waliowapenda sana lakini wanajikaza na baada ya muda flani huzuni huwaishia na wanadunda hadi sasa bila mawazo kama zamani sembuse wewe!.Cha kujua ni kuwa kilichokutokea wewe siyo kigeni hapa duniani na waswahili kwa kulijua hili walisema kuwa kifo cha wengi ni harusi hivyo usikonde saana hadi ukawa kama Betina.Ninauhakika ukimpata jamaa atakayekujali vizuri utamsahau tu huyo EX-wako. Mwanamuziki nguli Chidumule aliwahi kuimba Usipate taabuuu Nema uliyoyafanya siyo mageni hapa duniani...........Tafuta wimbo huu,usikilize,fananisha na hali iliyokutokea halafu utanielewa ninachosema. Bye.
 
Asante kwa ushauri wako
 
kuna methali moja ya kiswahili inasema fimbo ya mbali haiui nyoka, hii methali wakati mwingine hubeba uhalisia fulani katika maisha. Jaribu kuitafakari maana ubusy usije ukawa ni kwako ulie mbali wakati wa jirani yake wanapata full airtime.
Wakati unaendelea kulitafakari hilo, labda nikumegee hili. Mimi na wewe tuko mkoa mmoja hapahapa, mimi ni fimbo ya karibu inayoua nyoka. ukini-PM naweza kukupa airtime ya kutosha na tukapunguza makali unayoyakabili kwa sasa!
 
Ukituma text haijibiwi siku nzima au unataka dakika hiyo hiyo akujibu?
unapiga simu saa ngapi?
why usiwe unapiga simu time ambazo unajua yupo nyumbani na anajiandaa kulala?
kama unapiga simu office hours na yeye ni very busy person ni halki yake kutokupokea

sahihi.........hata mimi sipend tabia ya kupigiana simu sana na kutext kila wakati pindi napambana na umaskini.......We SWITYBBY Endelea kumpenda na kumjali tuko wengi wanaume wa sampuli hiyo,muda wa kazi kazi ikifika muda wa malove dave ni mapenzi niuwe kubebana nadi jikoni
 
Kama mpo mbali haku miss...mkioana mkalala na kuamka pamoja utakiona cha moto...
Urafiki tu ana behave kama mmeishi pamoja miaka 20...

Asikwambie mtu ku feel kuwa kuna mtu hamalizi siku bila kukukumbuka raha bana...na hii ni common kwenye urafiki..
Kama hakuchiti basi ni mmoja wa wanaume wasiokuwa romantic....mzigo huo stuka
 
hahahahaha mipasho mingine unamkimbiza kabisa

kuna mmoja aliweka SHULE ULIYOSOMA MIE NILIJENGA

Hahahahaha!!!!!!!!! mweeee!!!!!! mipasho wa whtsp wakatimwingine inapunguza stress ukiisoma. unakuta mtu kaandika hadi unasema sijui anaembiwa anaona au haoni.
 
Aiseeee! Nifahamivyo Mimi mapenzi ni makubaliano ya watu wawili watatu ni Muumba, na mkubalianapo huwa mnakubaliana mambo Fulani na kila mmoja hujikana na kumfuata mwenzake kulingana na mazingira na kupeana ahadi kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kuvumiliana. Nina mashaka nawe huenda ulikubali Kwa shingo upande na ndo maana umeshindwa kutimiza makubaliano mliyokubaliana. Cha msingi mfuate ili ukatengue makubaliano yenu kwanza kisha urejee hapa ili upewe ushauri na hata wazabuni watajitokeza
 
What i sense from you is neediness. Una hali ya kuhitaji mtu mwingine ili upate kamilisho, (fulfillment) Nimeshawahi kupita phase hiyo na kwakweli mwisho wake si mzuri. Tumia nafasi hii ili ukue.
The truth is, hata uangaike kiasi gani hautokuja kupata furaha na mapenzi nje yako. Relationships are meant to grow us, do not enter a relationship with a preconceived idea of 'how it should be' Rather build slowly with the aim of attaining True Love
True love is inside you, if you are able to find it within you then your partner will reciprocate it. Eventually both of you will find harmony, your relationship will not be about petty issues anymore.

Is that you Oprah? Haha i'm sorry. So much wisdom right there Ma'am.
 
Back
Top Bottom