masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,396
- 19,354
Halafu we mkorofi sana inaonekana.
kama nakupigia hupokei nakutumia msg hujibu
unadhani nitafanyaje zaidi ya kukusubiria wewe king utume nijibu upige nipokee
Halafu we mkorofi sana inaonekana.
Siamini kama mleta uzi hapati salamu ya aina hiyo.. Ninachoona kwenye andiko lake anataka zaidi.. Hapo sasa ndo ninaporudi kwenye pointi yangu kwamba jamaa kihulka sio wale romantic.. Ni aina ya mwanaume ambae anatoka hom asubuhi na kwenda kazini kwa ajili ya familia yake.. suala la sijui hun unaendeleaje mchana au ooh umeshakula kwake ni N/A.. Ndio alivyo na hawezi kubadilika au kubadilishwa..
NB: By saying yale mapenzi ya kwenye tamthilia nilikuwa ninamaanisha wale wenye hulka hiyo ya being romantic dear.. Usinielewe vibaya gorgeousmimi..
Tatizo unamuonesha unampenda sana
HIVI WANAUME HUWAJUI
just fata ratiba yake
atakopopiga pokea
akituma msg jibu
akikaa kimya NA WEWE KAA mmekutana ukubwani kila mtu kalelewa kwao huko na tabia ni tofauti
so kama unampenda fata ratiba yake yeye
CHUKUA HILI WAZO LITAKUSAIDIA
Usinichekeshe mie
i think the right way is to synchronize their timetables, and not one side to adapt to the other. Because that way one side is going to be completely striped of its values, and things will not work out well!!
Mimi sijui kwanini sio mshabiki wa mapenzi ya mbali. Pole mtoa mada
Kusomana gani wakati me ananiumiza 2
Leo na me nimeamua kuuchuna akipata muda atanitafuta
Umeona eh,alafu ameshajua yupo busy atlst anicheck kabla hajaanza kazi zake
Sasa usiku ndio anawahi kulala kwasababu ya uchovu unaweza kupiga simu saa tatu isipokelewe
Hahahaaaaa,vidume vipo ila nimempenda wa mbali
Me hata usipokuja yan mawasiliano muhmuYaani mda wote utakua kwa ajili yako tu,ukinihitaji tu nimefika
ndiyo wote tupo hivyo, kwani wewe haupo busy? Mnafikiri pesa tunatafuta saa ngapi?
Kweli mapenzi daaaahh!!! Yanatuumiza lakin wapiiii...bado tumo!!! It seem jamaa kajua unampenda na kashajua ...hivyo ni kawaida!!! Embu try this (at home) akiuchuna na wewe uchune afu uone kama atakutafuta!!! Na kama akikutafuta how does he react!! Then hapo utapata jibu na mwelekeo wako!!
NB: Ni ngumu sana kumchunia hasa kama unamfeel!! But it worth a try!!!
Me hata usipokuja yan mawasiliano muhmu
Jaribu kumueleza nini unataka ili naye akupe ratiba yake ya cku kama hatoweza basi upendo uongoze mahusiano yenu.....kwa vile mara nyingine siyo rahisi kimfanya vile ww utakavyo...
Yaani hapo kwenye simu sasa ndio utaomba poo maana kila baada ya dk 5 nakujulia hali
*********
Ila jaribu kuongea nae wenda atakuelewa