Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Wrong
kuna watu hawapendi tu kupiga simu
wako hivyo....mimi mmojawapo...
i hardly call anyone.....sms zaidi....nikipiga simu ujue ni 'work related'

..now I understand... thou I beg to differ kuna ule msemounasema "kama ni muhimu utatafuta njia (moja wapo ikiwa kumueleza mwenzawako na mkubaliane mawasiliano yenu yaende vipi) lakini kama hakuna umuhimu(hapa naongelea wa relationship) basi utatafuta visababu tu…hivyo nakubalianana gorgeousmimi 100%

Last edited by a moderator:
Kuna watu kweli hawapend mambo ya simu simu ila let me mind u kama wako wako tu hata abilingite ila kama sio wako sio tu. Mi nakushauri usimuwazie mabaya ila ukipata mda ue unaenda Kama hata anakuomba msamaha he is a good man,maana wanaume wengi hata msamaha huwa issue they have pride
 
swtybby

sema maneno yafuatayo kwa nguvu.....
.....eee nafsi yangu ,rudi rahani mwakooo.....
 
Last edited by a moderator:
Nahisi unampiga sana mizinga ndiyo maana anakukwepa! hivyo punguza kidogo utaona mambo yatakavyonoga..
 
Swtybb

Hata awe busy kiasi gani kama anakupenda atatengeneza muda kwaajili yako.Hakuna ubize unaouongelea kwenye mapenzi!
gorgeousmimi.. Sio wanaume wote wako that romantic, na wala haimaanishi kama hakutumii text au kupokea simu yako on time basi hakupendi..! Vile vile sio wanawake wote wako this romantic kama mleta uzi hapa.. Communication anaeitaka mleta uzi hapa inawahusu wale wenye mapenzi ya kwenye tamthilia..

Jamaa sio romantic huyu.. So bibie anatakiwa akubaliane na hili..
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu kweli hawapend mambo ya simu simu ila let me mind u kama wako wako tu hata abilingite ila kama sio wako sio tu. Mi nakushauri usimuwazie mabaya ila ukipata mda ue unaenda Kama hata anakuomba msamaha he is a good man,maana wanaume wengi hata msamaha huwa issue they have pride

Sijawahi kumuwazia mabaya coz najua kweli yupo busy ishu atlst awe ananikumbuka
 
Sijawahi kumuwazia mabaya coz najua kweli yupo busy ishu atlst awe ananikumbuka

Mueleze ukweli tu hmna namna nyngne kwamba baba mi napenda uwe hata unasema hi ubusy gani huo, yani mkazie haswa sio unamwambia kiutaniutani
 
Kama ni kazi zinazomfanya busy, ni swala la kawaida kwani asipojishughulisha akaachishwa, utatuletea tena thread kuwa huwezi kuishi na mwanaume asie na kazi. Kwa hiyo vumilia atengeneze pesa, mtapata muda wa kuwa pamoja comfortably.
Lakini ili kulithibitisha, mueleze kuwa yeye kuwa busy kunakusumbua na akueleze kinagaubaga kinachosumbua na kama mmoja wenu anaweza kurelocate, fanyeni hivyo ili muweze kupata muda mwingi wa kuwa pamoja.
 
He's romantic in his own way. Don't stress up!!
 
gorgeousmimi.. Sio wanaume wote wako that romantic, na wala haimaanishi kama hakutumii text au kupokea simu yako on time basi hakupendi..! Vile vile sio wanawake wote wako this romantic kama mleta uzi hapa.. Communication anaeitaka mleta uzi hapa inawahusu wale wenye mapenzi ya kwenye tamthilia..

Jamaa sio romantic huyu.. So bibie anatakiwa akubaliane na hili..
Unanitania au?Mawasiliano kwenye mahusiano ni tamthilia?mi sioni uromantic wowote anaotaka mleta uzi zaidi ya mawasiliano bora na mwenzi wake nina rafiki tu ambae yuko bizee kweli kweli lakini ananisabahi asubuhi na kunwish goodnight na ni rafiki tu itakuwa kwenye mahusiano.Usijitafutie excuses cause ur a lousy communicator.
 
Last edited by a moderator:
Huyo yupo bize muache kwanza njoo nikutulizeee..!
 
Kusomana gani wakati me ananiumiza 2

Duh,pole ndugu...me Girl wangu hata kama mguu wake unapondwa na tairi la trekta simu anapokea, na nikimuuliza "are you busy baby ? anajibu "not for you baby".....then baadaeeeee nikimuuliza POP la nini mguuni, ndio ataniambia "nimegongwa na trekta"

Yakubidi utathmini upya hilo penzi lenyu.
 
mapenzi ya mbali yana tabu kidogo hasa kama mawasiliano hayako vizuri. jaribu muongee hilo swala
 
Leo na me nimeamua kuuchuna akipata muda atanitafuta

Hilo ndilo la msingi, akiona changes kama alikuwa anafanya makusudi atajirekebisha na kama akireact negatively isikuumize.
Ukitulia akapiga, ina maana ndii muda wake aliouona unafaa, so relax.
 
Back
Top Bottom