Mwanaume wa ndoto yangu

Mwanaume wa ndoto yangu

habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: Mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: Mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: Mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: Mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..
"mimi siyo wala sijawahi kuwa malaya kama hutojali ni check kwenye 0768074172
 
Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..

Bahati sifa mbaya namba mbili nimekosa!
 
Umalaya n tabia haibadiliki,kama n malaya ataendelea kua vile vile utakoma
 
Wewe ni Kiranga na una kiherehere.Mwanakulitafuta mwanakulipata.

Usilitaje jina la Kiranga bure.

Unaweza kutumia Kiranga kama neno, lakini ukitaka kuni tag, hakikisha kuna sababu ya kunitag mimi Kiranga the person, as opposed to kiranga the word.

Else the dean will blast your greens to smithereens and gangrene your unclean routine. Knowwhattamean feen?

And while I sort this, best think of rigor mortis, prepare the dhoti or koti. I feel sorry if you are not forty with a hottie's goatee, clowning like Joti with no noti, Kiranga quoting Big Pun style when I flow this.
 
Last edited by a moderator:
Usilitaje jina la Kiranga bure.

Unaweza kutumia Kiranga kama neno, lakini ukitaka kuni tag, hakikisha kuna sababu ya kunitag mimi Kiranga the person, as opposed to kiranga the word.

Else the dean will blast your greens to smithereens and gangrene your unclean routine. Knowwhattamean feen?

And while I sort this, best think of rigor mortis, prepare the dhoti or koti. I feel sorry if you are not forty with a hottie's goatee, clowning like Joti with no noti, Kiranga quoting Big Pun style when I flow this
.
Ahahahahah!Mkuu nisamehe bure nilikuwa namaanisha neno kiranga kama mtu machepele hivi.Halafu iyo mineno yako nilipokoleza kwa wino mwekundu inabidi nitafute kamusi kwanza na kama umenitukana mwenyewe.
 
Hili mpja nahisi utakua umeosea..number 2..dada!...au umesahau ule usemi usemao...kilema hakina dawa?...
 
Ahahahahah!Mkuu nisamehe bure nilikuwa namaanisha neno kiranga kama mtu machepele hivi.Halafu iyo mineno yako nilipokoleza kwa wino mwekundu inabidi nitafute kamusi kwanza na kama umenitukana mwenyewe.

Usikonde,

Najaribu kuangalia kila post ninayokuwa tagged, sasa nikipoteza muda kuangalia halafu nakuta hainihusu ni mshashi tu ananichokora kwa kutumia neno kiranga kama tag ya jina langu inakuwa siyo fresh.

Hayo maneno nilikuwa nakupa onyo kwamba ukirudia rudia unaweza kupewa uchaguzi wa koti au dhoti, as in uamue uzikiwe ipi, in Big Pun style of flow and much braggadocio.

R.IP Big Pun.
 
Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..

umenipata tayari,,,,pm tafadhali
 
Back
Top Bottom