Mwanaume wa ndoto yangu

Mwanaume wa ndoto yangu

Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..

Nakuona kama msichana makini sana kutokana na post zako. Hasa sifa namba 4, umenikosha.
Wenye sifa stahiki wamekusoma.

tragedy of the commons
 
kimbia haraka sana njoo hapa utape pumziko ambalo huta jutia
 
wala usipate tabu...ngoja nikutumie mie ya 20000

Ha!ha!ha!haa.. Unataka niichukue ili ukantangaze!!!? Nimeshtuka. Sasa Vaislay umekubaliana na kale ka mkataba ketu kaanze kufanya kazi soon!?
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..
>>(Si vibaya pia ukamzidi sababu usijibane sana
They say do what u love but ikishindikana aka "mission impossible"?love what u do)

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

>>(Hapo inaonesha utofauti wako na wanawake wengine(the difference btn a girl m woman)
Duuu sina hata cha kusema sababu ts critical thinking jiandae tu kua mama bora na Mke bora sababu utakaye mpata kwa hii criteria ni mume bora na baba bora pia I blv so)

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea
>>(nakubaliana na ww mwanaume ni kichwa cha familia lakini u HV to have faith n confidence kidogo jiamini kwamba utakua tayari kwa ushauri na kukosoa pia
A real man need challenges mama)

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

>>( hahahaha umewaza mbali sana ni kweli couple nyingi sio marafiki blv me
Wengi wetu tunakua na urafiki karibu na kugegedana lakini hatutegemeani kwa ushauri na hatuna urafiki Wa kawaida nje ya mahusiano yetu)

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

>>(hahaha mungu aliyekupa busara hii Hakika amekuandalia mema
Sababu Nana post nyingi wanawake wNAotafuta wanaume kigezo kikubwa ni kazi biashara awe anajiweza nk the thing is mwanaume anahtaj zaidi ya mwanamke n the is what Aman wants
God bluss uu jaq)

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Natamani nikusaidie Kuota mweee
Njoo route wote
Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..
Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..
>>(Si vibaya pia ukamzidi sababu usijibane sana
They say do what u love but ikishindikana aka "mission impossible"?love what u do)

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

>>(Hapo inaonesha utofauti wako na wanawake wengine(the difference btn a girl m woman)
Duuu sina hata cha kusema sababu ts critical thinking jiandae tu kua mama bora na Mke bora sababu utakaye mpata kwa hii criteria ni mume bora na baba bora pia I blv so)

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea
>>(nakubaliana na ww mwanaume ni kichwa cha familia lakini u HV to have faith n confidence kidogo jiamini kwamba utakua tayari kwa ushauri na kukosoa pia
A real man need challenges mama)

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

>>( hahahaha umewaza mbali sana ni kweli couple nyingi sio marafiki blv me
Wengi wetu tunakua na urafiki karibu na kugegedana lakini hatutegemeani kwa ushauri na hatuna urafiki Wa kawaida nje ya mahusiano yetu)

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

>>(hahaha mungu aliyekupa busara hii Hakika amekuandalia mema
Sababu Nana post nyingi wanawake wNAotafuta wanaume kigezo kikubwa ni kazi biashara awe anajiweza nk the thing is mwanaume anahtaj zaidi ya mwanamke n the is what Aman want
 
Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..

inaonekana una akili. pengine iko siku nitakushauri,kwanza hiyo no 4 imenigusa zaidi,inaweza ikabeba yaliyobaki binti. una elimu gani?
 
Yani hiyo nani kakwambia ni ndoto hiyo imekuwa kweli njoo ndo mimi.
 
!
!
hi! jaqfantasy,
nakoment kukwambia kuwa mimi ndio mwanaume wa ndoto zako.
nasema haya kwa sababu ya sifa ulizoainisha na sifa ambazo nazimiliki zimeshabihiana kwa ukaribu mno.
nina umri wa miaka 31 na nimeshakutana na matukio mengi tu ya kuhusu mahusiano kwani mbali na kuwa ndani ya mahusiano tofauti,pia nimewahi kuwa na mahusiano na waschana wanne kwa mara moja. Na hili la mahusiano linaenda sanjari na uwezo wangu wa kuongoza.
Pia ni rafiki mzuri,mpole na najua kusikiliza. Sisikilizagi ili kujibu ila kuelewa nini kinatakiwa.
nadhani navumilika kwani nina uwezo wa kupata nusu milioni kila mwezi.
nitafurahi kupata nafasi ya kujieleza zaidi.
ahsante.
 
Back
Top Bottom