Mwanaume wa ndoto yangu

Mwanaume wa ndoto yangu

Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..

🙂 Unahitaji mwanaume kama huyujapokuwa namba 3 hajafikia huko..
 
Mkuu ukiamua kubisha we bisha tu, ila mapenz ya kweli hayagawanyiki, ukiona mtu anagawa mapenzi ujue hapo kuna walakini..
ndugu, acha haya madhaifu yakujengewa... Allah ameshatupa nafasi katika kitabu, tuoe wawili, au watatu au wanne ama tukiwa dhaifu(kama unavyosema mapenzi hayagawanyiki) na uoe mmoja tu!
 
Habari wakuu!!

Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..

Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika mahusiano, kwangu mm namuota mwanaume wa aina hii..

1:Mwanaume ambaye ningependa kuwa naye kwanza awe mwenye umri kati ya miaka 27-35
Hii ni kwasababu mm mwenyewe nina miaka 27 kwahiyo nisingependa mwanaume nitakayekuwa nae nimzid umri..

2: Ningependa kuwa na mwanaume ambaye ameshapitia na kufanya mambo mengi sana, kiasi kwamba haoni jipya..
Mfano: mwanaume ambaye alikuwa malaya ameshatembea na aina zote za wanawake amemaliza na ss ameamua kutulia na kutengeneza life.

3: mwanaume ambaye ataniongoza katika maisha yangu, hasa katika ushaur au kunikosoa ninapokosea

4: mwanaume ambaye atakuwa rafiki yangu..

5: mwanaume ambaye anavumilika, nikisema anavumilika namaanisha hata kama hana kaz au ela lakini ni mwanaume ambaye ana akili na ukimsikiliza na kumuangalia ana future..

6:mwanaume ambaye anamsimamo na mwenye kujitambua anataka nn..

Dhaa!! Naota mengi ila kwasasa ngoja niishie hapa..

All the best...wewe huhitaji magari na nyumba za maghorofa na safari za ulaya na marekani fasta fasta! It pays to go for what you are looking for. Ila we live in a materiliastic world.Nakupongeza kwa kuangalia mambo tofauti.
 
Ni nini hasa unachohitaji katika maisha!?, what is your main objective?
Mpk nimefikia hapa nimeona na kupitia mengi, na katika pitapita zangu si yote amabayo nimejifunza nimefanya mengine nimejifunza kutoka katika jamii yangu..

Mwanamke anaweza akawa amefanya mengi sana katika usichana wake inawezekana kabisa yakawa si matakwa yake ila alilazimika kutokana na kukosa mtu sahihi

Mwanaume sharobalo hana nafasi kwangu..
 
Mkuu ukiwa unareply just relax, elewa nilichosema sijasema nimepitia kila aina ya mwanaume ila nilichojaribu kusema ni kwamba katika mahusiano mtu unaweza ukawa umepita katika mahusiano labda mara tatu, nne mpk 5 si kwakupenda ila mara zote hizo umefikia katika mikono isiyo sahihi, je utaendelea kuwepo kwenye mahusiano hayo?
Nimekuelewa mkuu..umeshapata.?
 
Back
Top Bottom