john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 592
- 1,111
Ndogo namaanisha kukojoa mkojo, na kubwa namaanisha kutoa kinyesi.
Ndogo namaanisha kukojoa mkojo, na kubwa namaanisha kutoa kinyesi.
Pia sisi ni wasafi, na watafutaji pia, ndio maana uchumi wa Tanzania tunaumiliki sisi! Kwa kuongezea ni kuwa tunaishi kisasa ndio maana kila ndoto za mtanzania yeyote timamu moja ya ndoto zake ni kufika dar ndio maana sisi ni kivutio cha wasomi kama wewe msomi na hujawahi kufika dar basi course yako bado hujaikamilisha.
Anawaonea wivu wanaume wa dar, ila nafasi zipo waziDuuuuu
Yaan umeamua kumuanzishia thread kabisa
Miss natafutaTutake radhi sisi wanaume,nani kakufundisha huo upuuzi
Tatizo kuna wanaume wenzetu waliuliza mara NANI KAKUTEUA..?? Ukishaweka mwisho "question mark" maana yke wewe ni mwanamke. Jamaa akaona sio kesi. Akasepa. Na bado uzi unajaa maswali ya wanaume. Uzi tuwaachie wadada. Tumpuuze...!!!
Pia watu wamikoani wana sifa ya kukurupuka sanay na mihemko mingi sana.Jinga kabisa wewe kwanza unajua mbuzi anavyokojoa? Jike na dume
Hapo tayari umeongea kitu usichokijua
Na kama wewe unakojoaga kwa kuchuchumaa itakua una kitobo sio mrija tulionao wanaume wengine
Kaaa pembeni kabisa beba na handbag yenye tishu na mwisho wa mwezi usisahau safari yako ya Apollo.
Usirudie tena kutudhalilisha wa mkoani
Huyu mwanaume mpuuzi kabsa
Mbona sijaona sehem akijitambulisha yeye niwa dar.kaja na uzi huuhttps://www.jamiiforums.com/threads/dada-uliza-lolote-la-msingi-kuhusu-sisi-wanaume-nitakujibu.1270471/
tukauliza maswali weee akatujibu hivi:
Ahsanteni kwa maswali yenu mazuri.
Naomba kabla sijajibu hata mmoja, naomba niulize hili swali la nyongeza kwenu wadada.
Mwanaume ni nani, nini maana ya mwanaume?!
We are civilized man therefore we think on behalf of uTutake radhi sisi wanaume,nani kakufundisha huo upuuzi
NdiyoWw ni ke?!
Nano kapiga ramli Mimi au magari7?umepiga ramli au? ilo ni swali gani jamani?
Wambie hao ndugu zetu jamii yawafugaji.Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.
Wamasai utawajua..Tutake radhi sisi wanaume,nani kakufundisha huo upuuzi
Even if u have civilized but use your civilization for constructive adviceWe are civilized man therefore we think on behalf of u
kumbe ni kweli mnachuchumaa huko dar mkikojoa?
Sijui kwanini wanaume wa Dar wanakojoaga mkojo wakiwa wamechuchumaa
Haya matusi sasa. Kumbuka hata rais wako anaishi Dar na mashababi wote tuko Dar sasa unapotaka kugeneralise mambo haya siyo fresh kabisa. Huku sisi tunagonga tu awe wa hapahapa au aje wa bara au lije punga tunakung'uta tu. Habari iko namna hiyo msituchukulie poaSijui kwanini wanaume wa Dar wanakojoaga mkojo wakiwa wamechuchumaa