Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

Jinga kabisa wewe kwanza unajua mbuzi anavyokojoa? Jike na dume

Hapo tayari umeongea kitu usichokijua

Na kama wewe unakojoaga kwa kuchuchumaa itakua una kitobo sio mrija tulionao wanaume wengine

Kaaa pembeni kabisa beba na handbag yenye tishu na mwisho wa mwezi usisahau safari yako ya Apollo.

Usirudie tena kutudhalilisha wa mkoani
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
 
Siku ya leo ninafuraha kwa yanayoendelea huku

Kesho asubuhi mapema nawahi foleni hospitali nikapime uzito nahisi umeongezeka hata 2kgs
 
Haha. Kaka Mimi sijui hawa watu wamekuwaje, embu naomba nawe upitie thread yangu uone kama sijajibu maswali.
Ngoja niitafute dogo. Naona mpaka wamekuanzishia uzi mpya
 
Kama hujui mwanaume ni nani nitafute nitakueleza
 
Back
Top Bottom