Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

Sijui kwanini wanaume wa Dar wanakojoaga mkojo wakiwa wamechuchumaa
Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.
 
Jinga kabisa wewe kwanza unajua mbuzi anavyokojoa? Jike na dume

Hapo tayari umeongea kitu usichokijua

Na kama wewe unakojoaga kwa kuchuchumaa itakua una kitobo sio mrija tulionao wanaume wengine

Kaaa pembeni kabisa beba na handbag yenye tishu na mwisho wa mwezi usisahau safari yako ya Apollo.

Usirudie tena kutudhalilisha wa mkoani
 
Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.
Tutake radhi sisi wanaume,nani kakufundisha huo upuuzi
 
Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.
kumbe ni kweli mnachuchumaa huko dar mkikojoa?
 
Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.

Aseeh!
 
Mi nimecheka sana wenzie walivyokuwa wanamshushua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kumbe wanaume wa dar wanakojoa huku wamechuchumaa cheki majibu yao
Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.
 
Jibu. Kukojoa ukiwa umesimama ni sifa ya hayawani nikimaanisha mbwa , ng'ombe,mbuzi n.k! Binadamu mwenye akili anakojoa akiwa amechuchuma ili kuepusha mkojo kumrukia kwenye mavazi yake, na pia akimaliza anajisafisha kwa maji ikiwa haja ndongo au kubwa! Lakini wanaume wa mikoani wanatembea na kinyesi na mikojo kwenye mavazi yao.
"Ndongo" ndio nini weyee mwanaume wa Dar?

Na huyu anakojoa akiwa amechutama? [emoji23]

tapatalk_1494449992873.jpeg
 
Back
Top Bottom