Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

Aris Saolanica

Senior Member
Apr 27, 2017
124
83
Wanajamvi habarini za majukumu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.

Picha zao zimekuwa zikivutia kweli kweli na ukiziona tu lazima kama wewe ni mwanaume lijari lazima udenda ukutoke, sasa katika utafiti huo baadhi ya mabinti ukimtongoza tu hata kama umemwambia unataka mzigo kwa dau mlilo kubaliana lakini bado atahitaji umtumie bando ili muendelee kuchat hata kama mmefikia makubaliano ya kupeana huduma. Na hili suala la kuomba bando nimelikuta kwa Wa Dada karibia wote, na mwingine ukikaidi kumtumia utaambulia block ya hatari.

Swali langu kwenu wanajamvi ni kutaka kufahamu je kuna jambo gani limejificha au wanamaanisha nini katika kuomba bando na wakati wameshafikia makubaliano na mtu.

Naomba maoni yenu wanajamvi.
 
Dah kumbe na wewe wamekuomba😂😂🤣

Screenshot_20220511-122101_1.jpg
 
Back
Top Bottom