Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,207
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
 
"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.. Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Wajinga wawili mumekutana aliyeachika na wewe Malaya unayetembea naye tu huna mpango wa kumuoa mnabadilishana mawazo ya kijinga
 
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Sawa, endelea kufurahia uroda na mke wa mtu, ila matokeo yake yafurahie pia.
 
Back
Top Bottom