Binadamu yoyote yule haridhiki. Awe mwanamke au mwanaume. Wote same sameHawa Jamaa hawaridhiki hata uwape dunia.... atachepuka tu hata na alien😕
acha kuhalalisha uzinzi wewe had mtu anakubal kuolewa alikua kipofu? hata angeolewa na anaempenda mambo yangekua haya hayaHii kali aisee utadhani ni hadithi tu, mwanamke hata haya nyumbani kwao hana?
Matatizo ya kuoa mke asiyekupenda haya, kisa unampenda sana basi unamshawishi kwa nguvu yoyote hata iwe gharama vipi ndio hivyo tena
Hawa viumbe hawaridhiki kabisa, sijui wana nini aisee!? Hata umfanyie nini, bado atafanya upuuzi tu. Kwa nini?!
Mi hata mke wangu nishamtahadharisha hilo kuwa kati ya mambo ambayo sijawahi kuyakubali ni hilo la 'mpaka kifo kitutenganishe' hivyo chunga papuchi yako na kama huwezi basi jiandae kisaikolojia siku miti yote ikiteleza.Mi ni mkristo ila kwenye swala la taraka nawaunga Waislam 100% kabisa na ndio style yangu itakavo kuwa. Nikusamehe kwani mi Yesu hakuna kofi la pili, toa wembe nitoe kisu.
kasoro mimi
ha haha hata sikushangai wewe kutonniamini...Mimi wee sikuamini hata kidogo!
Heaven sent you are blessed with wisdom my dearUnless kama huyo mchumba wako ana matatizo yake basi usimuoe. Ila sio kwa sababu ya story za maisha ya watu, ndo ukaamua kumuhukumu binti wa watu kwa makosa ya watu wengine. Kama una nia ya dhati ya kuoa, kaoe tu. Hakuna maisha marahisi na wala ndoa zote hazilingani, so katengeneze ya kwako unayoona itakufaa zaidi
Ni kama tunavyoanza kusoma, Kila siku tunaambiwa mtihani wa darasa la 7 mgumu huo, watu wanafelije... but still tulienda, tukasoma kwa bidii na kwa neema ya Mungu tukafaulu. Vivyo hivyo na kwenye mitihani ya form 2, form 4, tena ukifika A-level na chuo ndo kuna masomo utatishwa usiyachukue kisa watu wengi wanafeli,, but mwisho wa siku tuliyachukua na here we are now by the Grace of God. Tungesikiliza testimonies za walioshindwa na vitisho vya watu, basi hata shule tusingeenda kabisa. Kama unawiwa kuoa, oa tu mpendwa. Omba tu Mungu akupe mke mwema wako pamoja na hekima, maarifa na uvumilivu katika ndoa. Zile changamoto / mabaya unayoyasikia kwa watu kuhusu ndoa, usiyagnore mazima bali yafanyie kazi ili yasije yakaathiri ndoa yako pia na hata yakikukuta utajua utokee mlango upi. Ni ushauri tu

I appreciate my dear. ..Heaven sent you are blessed with wisdom my dear
Heaven sent you are blessed with wisdom my dear
We black acha tu mi cjawahi aise
Pengine tungemuuliza je mmewe ana tatizo lolote la nguvu za kiume hadi mwanamke adanganye kiasi hicho tena nyumbani kwao aisee mwanamke huyu ana roho ngumu ka ngozi ya mamba
Hata kama umpige round 7 hawezi kuridhika....cjui kuna shetani gani kwenye akili zao!!!! Kama mm kuna mmoja kamuacha mchumba wake kisa mimiHawa viumbe hawaridhiki kabisa, sijui wana nini aisee!? Hata umfanyie nini, bado atafanya upuuzi tu. Kwa nini?!