Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,595
Ha ha ha! Aya bhana.Hata kama umpige round 7 hawezi kuridhika....cjui kuna shetani gani kwenye akili zao!!!! Kama mm kuna mmoja kamuacha mchumba wake kisa mimi
Ha ha ha! Aya bhana.Hata kama umpige round 7 hawezi kuridhika....cjui kuna shetani gani kwenye akili zao!!!! Kama mm kuna mmoja kamuacha mchumba wake kisa mimi
haha hhah hahhh Oa bhana Mkuu na wewe utuletee vitimbi vyako!Kila nikisoma visa vya wanandoa huku, nakata tamaa kabisa ya kuoa, last week nilikuwa nataka niongee na uncle wangu kuwa nataka kupeleka barua ya posa, ila nilikuwa nasagura sagura JF nikakutana na vitimbwi vya wanandoa hapa MMU nikahairisha....
Swali lako gumu, ma'dam. Sidhani kama ni tatizo kwa wanaume kuridhika, japokuwa yaweza kutokea. Ila wanawake wameigeuza hii kuwa kama tabia.Kwani ninyi ndio huwa mnaridhika???
hamna cha roho ngumu wala nini ...............hulka ikishajijenga akilini mwako haya ndiyo matokeo yake!Pengine tungemuuliza je mmewe ana tatizo lolote la nguvu za kiume hadi mwanamke adanganye kiasi hicho tena nyumbani kwao aisee mwanamke huyu ana roho ngumu ka ngozi ya mamba
Halafu na wewe ulivyo kopo kichwani ukakubaliHata kama umpige round 7 hawezi kuridhika....cjui kuna shetani gani kwenye akili zao!!!! Kama mm kuna mmoja kamuacha mchumba wake kisa mimi
Mdau niaje? Umeona vitu vya nameless? Karusha vitu nusu nusu cha Roho ya paka na nyingine kalihaha hhah hahhh Oa bhana Mkuu na wewe utuletee vitimbi vyako!
Mkuu nimeona alivyotoa angalizo tuu kuwa story hataimalizia basi nikasepa nyuzi zake! Maana haina maana.Mdau niaje? Umeona vitu vya nameless? Karusha vitu nusu nusu cha Roho ya paka na nyingine kali
Huyo binti anatutega sana. Kule mpiganaji unafika?Mkuu nimeona alivyotoa angalizo tuu kuwa story hataimalizia basi nikasepa nyuzi zake! Maana haina maana.
Mkuu huyo binti mtobwa kwa kweli niliamua kuachana na hizo hadithi maana hata hivyo nilikuwa najikumbusha nilishasomaga kitambo.Huyo binti anatutega sana. Kule mpiganaji unafika?
Tanzania ni nchi ya amani sanaJana baada ya kutoka kazini, nilikuta ugomvi kwa jirani yangu ambaye alikuwa ameenda likizo na mkewe sasa wakati wanataka kurudi kazini ikabidi wapiti kwao mwanamke kuwasalimia, sasa zogozogo lilianza hapa, baada ya kufika kwao mwanamke, walikaribishwa vizuri na wakaoga, wakala na sasa ikafika zamu ya kwenda kupumzika.
Sasa mwanamke kumbe alikuwa ameshamtaarifu boyfriend wake wa siku nyingi hapo mtaani kwao kwamba nitakuja siku fulani, siku hiyo wakati wa kulala, mwanamke alikataa kulala na mumewe ndani ya nyumba yao binti (nyumba ya ba mkwe), eti akidai (mwanamke) kwamba siyo vizuri kulala pamoja eti yeye na mumewe kitanda kimoja kwenye nyumba ya baba yake, akihoji je, ikitokea "mwanaume akahitaji mchezo"?
Basi jamaa (mumewe) ikabidi awe mpole amruhusu mkewe akalale chumba kingine lakini ndani ya nyumba hiyo, sasa mkewe akatumia mwanya huo, kufungua mlango na kwenda kwa ex boyfriend wake wa muda mrefu, akarudi asubuhi ya saa 11 alfajiri.
Wakati anarudi akakutana na baba yake nje, ndo baba yake akaanza kumuuliza anatoka wapi usiku huo yeye peke yake huku akihoji mume wake alipo! Kumbe wakati anamuhoji mkewe, mumewe alikuwa anasikia maana dirisha la chumba alicholala mumewe lipo upande wa getini, mke wake alishindwa kutoa majibu yoyote huku akiomba radhi kwa baba yake tena kwa sauti ya kunong'oneza sana.
Kumbe mumewe alisikia yote na alipoamka alikaribishwa chai akanywa na baadae akaomba kuondoka ili kuwahi kazi akidai likizo yake ilikuwa imekwisha.Wakaondoka pamoja na mkewe, sasa kufika nyumbani ndo maswali yakaanza na ugomvi mkubwa umetokea jana, na ikabidi mwanaume ampe nauli mkewe arudi kwao kwanza ili atafakari hatua nzuri za kuchukua dhidi yake.
Kiufupi, Mwanamke hakukubali kosa, alikataa ila mmewe alipomuuliza swali aliloulizwa na baba yake juzi na jibu ambalo yeye alimjibu baba yake ndipo mwanamke akaishiwa nguvu, mumewe akamwambia nguo aliyovaa siku hiyo ya alfajiri na baba yake alivyokuwa amevaa siku hiyo ya alfajiri.
Sasa ndugu zangu wanaume kazi kwetu kwa wale mliooa tayari kazi kwenu, sisi wengine tunajifunza kwanza.
hutoshelezi haja zake za kimapenziHawa viumbe hawaridhiki kabisa, sijui wana nini aisee!? Hata umfanyie nini, bado atafanya upuuzi tu. Kwa nini?!
[emoji15] [emoji15] hapo umeshaharibia watu pozDah aisee balaa jamaa alienda kukumbushia ndio mana kuoa mwanamke ambae sio bikra tabu sana lazima unakua unaoa dem wa mtu
Nilizungumza kwa nafsi ya wingi. Mimi siko hapo!hutoshelezi haja zake za kimapenzi