Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana.

Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu.

Trust me mwanaume kama huchezi mechi za nje kisa heshima kwa mkeo unajifanyia ukatili wa kufa mtu. Yaani unajinyima fantasy zako bure tu.

Ila kama huchezi kisa unatii maneno ya nyumba wako hapo sawa ila kama ni kwa ajili ya hawa ndugu zetu ...unajinyima vitu vizuri bure tu.

Na hao wake zenu ndio wanajitongozesha kwa wanaume trust me. Maana angejijua kuwa yeye ni mke wa mtu angeshinda nyumbani na familia na kuangalia mumewe.

Ukitaka kuamini kama wake zenu wanajitongozesha na kutafuta wanaume jiuliza utakuta labda mkeo ni mwalimu unakuja kumfumania na fundi ujenzi sasa hapo huyo fundi ujenzi wamekutana wapi na katika mishe gani....? Wakati nyumbani kwako hakuna ujenzi unao endelea? Au unakuja kumfuma na kinyozi wakati huyo mkeo hujawahi muona hata siku moja kanyoa zaidi ya kusuka na kuvaa mawigi.

So huyu kinyozi kapatikanaje? .maana kama mkeo anajua kuolewa na anaheshimu ndoa yake lazima takua na mambo machache utakuta kama ni mwalimu root zake ni shule , home ,church busy na vibustani nyumbani, jpili church, vipi watoto wanafanya nini na wanaendeleaje yaani vitu kama hivyo

Namalizia kusema ukikuta mkeo anamazoea na wanaume ambao hawapo kwenye root yake jua mkeo anatongoza wanaume wamfilimbe na vijana wanamfilimba kweli hadi wanaimba pele moto

Wanaume zisugueni papuchi maisha ndio hayahaya hizo heshima mnazo zitafuta kwa wake zenu ni ujinga na upuuzi mtupu.
Dah sina neno
 
Back
Top Bottom